palsa
JF-Expert Member
- Apr 24, 2011
- 1,339
- 1,701
Mtu asiwe na mapendeleo jamani. Dola 1000 ndio inawafanya mumtusi?Sauti yako inazagaa tiktok ukiwa unaitumikia iPhone 16 ndio maana tecno huitakiyani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu asiwe na mapendeleo jamani. Dola 1000 ndio inawafanya mumtusi?Sauti yako inazagaa tiktok ukiwa unaitumikia iPhone 16 ndio maana tecno huitakiyani
Mediatek Dimensity 9000+ (4 nm)Simu nzuri ime keep up with technology,Ila usd 1000 kwa tecno??
Chip gani inatumia, games kubwa inamudu??ubora wa camera??aina ya kioo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watoe hilo jina Tecno waziite hata jina jipya...ijulikane ni luxury brand...maana hata brand yao ya infinix sasa hivi ni cheap huko Itel ndo usisemep, simu zinanukia cheap plastic.
😁😁😁😁Itafika hatua haya makampuni yatakuja na sim ambayo haionekani inakuwa TU mwilini mwako kama cheap
Kipindi iPhone zina status, kipindi cha iphone 3, 3G, 4, 4S hadi kwenye 6 pale, ndipo hapo iphone zikavamiwa na kila mtu.
Ila hivi sasa kwa matumizi ya kawaida hata hizi cheap phones zipo poa tu.
Wamejitahidi sana kwa hizo specs.Mediatek Dimensity 9000+ (4 nm)
Kioo cha Fold: LTPO AMOLED same na nje LTPO AMOLED
RAM 12GB na memory hadi 512 GB
Camera tatu: wide, ultra wide na telephoto, zote 50MP (4K @30FPS) mbele mbili zote 32MP (1080 @60fps)
Battery: 5750 mAh
Mie nilikomea 6 nilinunua 2015 nikatumia hadi 2017...Yes mie nilikomea 6S plus nadhani... sijawahi tumia tena iphone
Sure historia ya Tecno inaua brand zake zote, wabadili kitu.....shida zikifikisha muda fulani ZINAJIFANYIAGA INAVYOTAKA YENYEWE ukitumia ujumbe Kwa kishobe inapeleka ukweni....yaaniWatoe hilo jina Tecno waziite hata jina jipya...ijulikane ni luxury brand...maana hata brand yao ya infinix sasa hivi ni cheap huko Itel ndo usisemep, simu zinanukia cheap plastic.
Mkuu naomba nikununulie hii tecno fold..TECNO??
Hata bure siitaki!
Duh!....hiyo itakuwa mwaka 2099...Itafika hatua haya makampuni yatakuja na sim ambayo haionekani inakuwa TU mwilini mwako kama cheap
Aisee 🤣wa tecno hua tunaonwa kama watu tusiojielewa kabisa..mtu wa iphone ile stare na look akupayo si ya ulimwengu huu