Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
IPhone status tuh ila hakuna kitu ambacho iPhone inafanya cm za Android zikashindwawa tecno hua tunaonwa kama watu tusiojielewa kabisa..mtu wa iphone ile stare na look akupayo si ya ulimwengu huu
Watakamata kondoo wao wa iSheepKidogo wako nyuma, tutegemee kuletewa fold au flip 2026 hivi. Zitauzwa ghali sana. $5000 au zaidi.
Stivini jobu aliondoka na iPhone yakeIphone wajipange
Nina techno, ikipita simu inachanganya network na kuanza jipiga au kuanza tumia watu message pamoja na kujibutecno hapana kwakweli
Huko sirudii tena hata watoe toleo gani, Sisi Wazee wa speed Simu slow hatuzipendi Phantom 5 promo zilikua nyingi mno nikajaa nilichokutana nachoTecno sio ya kinyonge.
Tuache users wa decide kama zina hadhi or not. Product bora inajiuza yenyeweKwa wale wapenda status, Niseme tu, hizi simu za fold ambazo ni latest zina hadhi ya juu kuliko iPhone hata kwa bei.
Sizungumzii hizi Tecno, hata hii Tecno fold bei yake yenyewe si ya Tecno zilizo zoeleka na nafikiri ndio expensive kuliko Tecno zote.
Latest fold za samsung iphone haisogei kwa price.
Picha ukungu.Ngoja simu ikianza kuchoka huyo AI wao atakua anafanya kitu gani,,,hazichelewi zikawa zinaenda kuzima umeme tanesco,,,,,,,hizi simu nzuri zikiwa mpya tu ila ukishatumia kwa muda mrefu inaanza mambo yake ya ajabu kama imetupiwa majini, unataka kupiga simu mara imemtumia picha ya x mama mkwe huko wasap,,,,mtu anakupigia upokee mara unaona umechukua screenshot
Mimi binafsi siikubali TecnoKwa wale wapenda status, Niseme tu, hizi simu za fold ambazo ni latest zina hadhi ya juu kuliko iPhone hata kwa bei.
Sizungumzii hizi Tecno, hata hii Tecno fold bei yake yenyewe si ya Tecno zilizo zoeleka na nafikiri ndio expensive kuliko Tecno zote.
Latest fold za samsung iphone haisogei kwa price.
Mchina anatisha, sasa, hv ulaya wanatoka mishuzi jinsi mchina anavyowakimbiza katika biashara ya magari ya umeme, EVS, gari kutoka china, ni nafuu na ni Bora kama za ulaya, makampuni ya ulaya yanashindwa kushindana,Kampuni kutoka China Tecno, wanazidi kuwafurahisha na kuwashangaza Walimwengu kwa kuzindua generation ya pili ya foldable smartphones, kwa kuja na Flip na Fold, zote zikiwa na Ella AI ambayo iko powered na Google Gemini AI.
Flip 2 itaanza $700 na ni improvement kutoka Flip 1 ya mwaka jana.
View attachment 3095441
View attachment 3095445
Hii Fold 2 nayo muendelezo wa Fold 1 ya mwaka jana itakua $1,100 tu!
View attachment 3095446View attachment 3095447
Tecno sio ya kinyonge.
Mtu akikupigia inakata na kutuma ujumbe wa kiingereza inaoutaka yenyeweSure historia ya Tecno inaua brand zake zote, wabadili kitu.....shida zikifikisha muda fulani ZINAJIFANYIAGA INAVYOTAKA YENYEWE ukitumia ujumbe Kwa kishobe inapeleka ukweni....yaani
Inagombanisha mnoMtu akikupigia inakata na kutuma ujumbe wa kiingereza inaoutaka yenyewe