pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 5,248
- 3,663
Bei ya Tecno imezidi bei ya iPhone 16Kampuni kutoka China Tecno, wanazidi kuwafurahisha na kuwashangaza Walimwengu kwa kuzindua generation ya pili ya foldable smartphones, kwa kuja na Flip na Fold, zote zikiwa na Ella AI ambayo iko powered na Google Gemini AI.
Flip 2 itaanza $700 na ni improvement kutoka Flip 1 ya mwaka jana.
View attachment 3095441
View attachment 3095445
Hii Fold 2 nayo muendelezo wa Fold 1 ya mwaka jana itakua $1,100 tu!
View attachment 3095446View attachment 3095447
Tecno sio ya kinyonge.