Tecno wazindua Phantom V Flip 2 na Phantom V Fold 2 zikiwa na AI assistant!

Tecno is an acronym of Tech No in reverse it reads No Tech, tech is a short form of the word technology. THEREFORE, tecno stands for the word "NO TECHNOLOGY"

Conclusively, don 't buy a tecno brand!
 
Tuache users wa decide kama zina hadhi or not. Product bora inajiuza yenyewe
 
Ngoja simu ikianza kuchoka huyo AI wao atakua anafanya kitu gani,,,hazichelewi zikawa zinaenda kuzima umeme tanesco,,,,,,,hizi simu nzuri zikiwa mpya tu ila ukishatumia kwa muda mrefu inaanza mambo yake ya ajabu kama imetupiwa majini, unataka kupiga simu mara imemtumia picha ya x mama mkwe huko wasap,,,,mtu anakupigia upokee mara unaona umechukua screenshot
 
Picha ukungu.
 
Mimi binafsi siikubali Tecno
 
Mchina anatisha, sasa, hv ulaya wanatoka mishuzi jinsi mchina anavyowakimbiza katika biashara ya magari ya umeme, EVS, gari kutoka china, ni nafuu na ni Bora kama za ulaya, makampuni ya ulaya yanashindwa kushindana,
 
Uzi wa Tecno, mjadala wa iphone. Kuna tatizo wapi?

Ifike muda muwe proud na brand mnazozitumia, in most cases iphone users si tatizo, ya’ll are!

Haya jumapili njema.
 
Sure historia ya Tecno inaua brand zake zote, wabadili kitu.....shida zikifikisha muda fulani ZINAJIFANYIAGA INAVYOTAKA YENYEWE ukitumia ujumbe Kwa kishobe inapeleka ukweni....yaani
Mtu akikupigia inakata na kutuma ujumbe wa kiingereza inaoutaka yenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…