pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 5,248
- 3,663
Bei ya Tecno imezidi bei ya iPhone 16Kampuni kutoka China Tecno, wanazidi kuwafurahisha na kuwashangaza Walimwengu kwa kuzindua generation ya pili ya foldable smartphones, kwa kuja na Flip na Fold, zote zikiwa na Ella AI ambayo iko powered na Google Gemini AI.
Flip 2 itaanza $700 na ni improvement kutoka Flip 1 ya mwaka jana.
View attachment 3095441
View attachment 3095445
Hii Fold 2 nayo muendelezo wa Fold 1 ya mwaka jana itakua $1,100 tu!
View attachment 3095446View attachment 3095447
Tecno sio ya kinyonge.
tangazoTECNO??
Hata bure siitaki!
Hivi lexus ni toyota kumbeTatizo la TECNO ni sawa na tatizo lililoikumba TOYOTA marekani mpaka kuibuka na LEXUS.
Ndio mkuu.Hivi lexus ni toyota kumbe
Je pia Security features zimezidi iphone?Kwa wale wapenda status, Niseme tu, hizi simu za fold ambazo ni latest zina hadhi ya juu kuliko iPhone hata kwa bei.
Sizungumzii hizi Tecno, hata hii Tecno fold bei yake yenyewe si ya Tecno zilizo zoeleka na nafikiri ndio expensive kuliko Tecno zote.
Latest fold za samsung iphone haisogei kwa price.
Security features of the phoneMnamaanishaga nini mnavyosema "security"?
Hamna cha security wala nini kwenye hizo iPhone zenu sema kuna kulimitiwa usifanye upendavyo kwenye simu yako gereza la mfukoni hiloSecurity features of the phone
Waarabu wa pemba natamani kwenda kuwaonaHamna cha security wala nini kwenye hizo iPhone zenu sema kuna kulimitiwa usifanye upendavyo kwenye simu yako gereza la mfukoni hilo
KivipiWaarabu wa pemba natamani kwenda kuwaona
Hapana hiyo siyo, security features of the phone it is more than thatKwamba mtu hawezi kuhack, kuiba data, kuingilia privacy au?