TANZIA Teddy Mapunda Afariki Dunia hospitali ya Aga Khan Dar

ILA siku hizi maradhi mengi Yanaua ghafla tusihukumu.

Hata ukimwi,presha,UGONJWA wa moyo navyo vinaua ghafla.

Kikubwa madaktari na ndugu waruhusiwe kusema ukweli kwamba marehemu kafa na Corona au la.hyo itasaidia kutoa maneno maneno.
...Na itasaidia watu kuchukua tahadhari zaidi [emoji120]
 
Naona mchoro fulani hapo kulia na kushoto kwake juu, alikuwa na mume, alikuwa katika ndoa? RIP TEDDY
 
You are right.
The right hospital in Dar is MNH.
I was attended by up to twelve doctors from the resident all the way up to a consultant.
Wana crack vichwa ikija kuamuliwa Cha kufanya Hadi Raha
Watu wanapadharau muhimbili sababu ya reputation ya nyuma. Ila kipindi cha magufuri, muhimbili imewekwa sawa.
 
Hawa vijana bana....wao wanapita pita na IPhone zao (macho matatu) ... lakini hawana updates za mgonjwa ...
 
Najipitisha kuchukua maoni mkuu ili nimpelekee daktari mbobezi
 
You are right.
The right hospital in Dar is MNH.
I was attended by up to twelve doctors from the resident all the way up to a consultant.
Wana crack vichwa ikija kuamuliwa Cha kufanya Hadi Raha
Naskikia katika kipindi cha miaka mitano iliyopita Muhimbili imeimarika kuliko hospitali yoyote nchini. Nadhani Aga Khan bado inatumiwa kwa sababu ya pride tu kuwa anayekwenda pale ni mtu mwenye hela!
 
Kama covid waseme.

Tangu walipoacha kutangaza mambo ya covid mwaka jana watanzania waliougua au kufa kwa Corona ni wale wanaotangazwa na mamlaka za India tu.

Na angekuwapo yule bwana hata hao asingeshindwa kulazimisha iwe ni malaria kali!

Tuseme nini sisi?

Tangulia dada Teddy, kapumumzike kwa amani nasi tu nyuma yako.
 
Najipitisha kuchukua maoni mkuu ili nimpelekee daktari mbobezi
Nafikiri ,itakuwa heart attack,kutokana na kufunga Siku nzima.Mwili umekaa bila chakula siku nzima.Unapoonza kula lazima ,kuna mshituko wa mishipa na moyo utatokea.Kabla wengi hawajafunga ni muhimu kupima afya .
 
So touching saddening! My sincere heart felt condolences for family, friends and neighbours ! May Teddy Beautiful soul rest in Eternal peace
Umeandika kinyonge sans
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…