witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Jibane utajirike...umeona sasa?Atakuwa alipaliwa na mfupa, anyways kifo hakina huruma jamani! Pamoja na CV kubwa namna hio ila still Israel kafanya yake...Hapo hamna jinsi zaidi ya kumu wish mapumziko mema!
Wale mnaosema siri ya utajiri ni kula dagaa endeleeni tu! Acha wengine tuendelee kula kuku tu kama ipo ipo! Kifo kipo mpaka mahotelini 5 star