TANZIA Teddy Mapunda Afariki Dunia hospitali ya Aga Khan Dar

TANZIA Teddy Mapunda Afariki Dunia hospitali ya Aga Khan Dar

RIP...

Hopefully hii sio trend imeanza tena....
 

Mkurugenzi Mtendaji wa Montage, Teddy Mapunda amefariki muda mfupi uliyopita baada ya kuugua ghafla wakati akipata futari na wenzake hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam na kukimbizwa hospitali ya Aga Khan.

Machi, 2012, alichaguliwa kuwa mmoja ya wajumbe watano waliounda Bodi ya Wakurugenzi ya Bodi ya Utalii (TTB) akiwa
Mtaalamu wa Masoko (Marketing) na Afisa Uhusiano Serengeti Breweries Limited;

Teddy amewahi kuwa Katibu Mkuu wa kamati iliyoundwa na TFF ya kusaidia Taifa Star Ishinde mwaka 2015 katika Maandalizi ya michezo ya kufuzu Kombe la Dunia


Teddy Mapunda is a Non-Executive Director at British American Tobacco Kenya Ltd since October 2014 and a Member of the Remunerations Committee.Teddy is the founder of Montage Limited, a multi-dimensional consultancy and creative agency based in Dar-es-Salaam, Tanzania. She has over twenty years of leadership experience in public relations, customer service, administration, and sales.

Teddy Mapunda is a graduate of the Swedish Institute of Public Administration and the Ghana Institute of Management and Public Administration.

She is Vice Chairperson for the Road Safety Committee Kinondoni Region, Tanzania, Board Member of Why Africa Now of the USA, TPS Eastern Africa (Serena Hotels), WAMA Foundation and the Arusha International Conference Centre (AICC).
Ngoja nimsubiri Steve Nyerere, poleni wafiwa.
 
Kifo hakifai kabisa kaacha bonge la jumba. Huyu ndio alishinda tenda ya kutengeneza na kuandaa majukwaa .
الْمَالُ وَالْبَنُونَ زِينَةُ الْحَيَاةِ الدُّنْيَا ۖ وَالْبَاقِيَاتُ الصَّالِحَاتُ خَيْرٌ عِنْدَ رَبِّكَ ثَوَابًا وَخَيْرٌ أَمَلًا
Mali na wana ni pambo la maisha ya dunia. Na mema yanayo bakia ni bora mbele ya Mola wako Mlezi kwa malipo, na bora kwa matumaini.
 
Nafikiri ,itakuwa heart attack,kutokana na kufunga Siku nzima.Mwili umekaa bila chakula siku nzima.Unapoonza kula lazima ,kuna mshituko wa mishipa na moyo utatokea.Kabla wengi hawajafunga ni muhimu kupima afya .
Mkristo anafunga?
 
Wangemkimbiza Muhimbili. Aga Khan is overrated.

Emergency room ya Aga Khan wamejaa watoto wanafanya residence, bado wako shule! Na si kwamba kuna supervisor mbobezi anawaangalia hapana, hao vijana ndio wame take over hapo reception desk ndio wanakupokea na kuku handle mwanzo mwisho na Viingereza vya Mama Suluhu, usipokufa ndio utamwona daktari wa ukweli anapita saa nne usiku...

Tanzania hamna madaktari, unaenda hospital mzima kabisa, unarudishwa maiti.
 
Mwisho alikuwa cjui mkuu wa tbl ckumbuki vzr ila alikuwa mtu wa masoko masoko cjui
Kuna mtu anajuwa alikuw Nani

Amupnzike kwa amani
 
Sikutaka ajira. Kuna kazi nafanya kiasi chake alinipa kazi namshukuru sana japo kazi nyingi alikuwa akiimpa mumewe ambazo zinafanana na ninazofanya mimi. Huyo dada ukisema wanawake matajiri 100 watoka kibongobongo anaweza kiwepo.

Hawezi kuwemo katika list ya wanawake 100 matajiri tz kama hatoki familia ya wahindi, waarabu na politicians
 
You are right.
The right hospital in Dar is MNH.
I was attended by up to twelve doctors from the resident all the way up to a consultant.
Wana crack vichwa ikija kuamuliwa Cha kufanya Hadi Raha
Yaaah, ukweli MNH inabidi wapewe tuzo. Nilipewa huduma wiki flani pale hadi nikahisi wameogopa hii tai niliyovaa au. Wataalam si chini ya wanne wanaumiza kichwa juu ya tatizo.
 
Mkuu

Nadhani unaona Muhimbili kua bora zaidi ya hospitali zote TZ ni kitu cha maana sana

I'm sorry to say yall are stupid as me

Hizi kelele za MNH kua bora,imesababisha foleni kua kubwa mno,na imeshaanza kua overcrowded,capacity ni ndogo

MNH haiwezi kuhudumia wananchi milioni 60

Cha msingi ni hospitali zote ziwe bora wagawane hawa watu maana hospitali moja haiwezi chochote

MNH inaendeshwa kwa too much kodi allocation...yaani MNH ni money burning machine,hakuna efficiency..kwahiyo usijichekeshe kana kwamba kuna la maana sana

Issue hapa,itokee wizi kadhaa,MNH will go down as a failure,halafu mnarudi back to hizi privates mnakuta mlishaziharibu pia,mnafeli kote

Naona mnajikenulia mimeno kama majuha baada ya Magufuli akili nusu kuharibu private hospital zote ili MNH iwe na maana which is an economic lie and dangerous thinking

A year from now,MNH will go back to mediocrity maana money burning rate hii sio realistic na serikali will be squeezed economically to allocate resources to other issues budgetarily!
Mkuu umeongea mambo mengi sana of which most of them I agree with you.Sitaki kuingiza mambo ya magufuli n.k c'se we both know alizingua kwenye angles nyingi sana.
Nimeongelea muhimbili as taasisi kwamba,kwenye specialist services ni UNBEATEN.
N.B:Mkuu sio kila anayesifia taaisis yeyote ya serikali ni Praise Team wa Gvmnt.Sometimes its just a common guy appreciating something...
 
Mzito mmoja ambaye alikuwa na nyadhifa mbali mbali ndani na nje ya nchi.
Nauliza tu Mkuu
Kwani ni nani huyu
Alijua kujipamba kwa pete na mikufu
Kula futari Serena Hotel well Mungu tumwogope
Amemaliza mwendo
 
Back
Top Bottom