Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
watu wa mikoani mnashida, sisi wa wadar tushamjua tayari, [emoji23]Umeandika kama kila mtu anamjua.
Au kupata futari Serena ndio ajulikane na kila mtu?
Hauna akili ili mradi nawe uchangie jumba alilloliacha naamini kabisa mpaka kizazi hiki kinafutika hakuna ukoo wenu anayeweza kumiliki jumba lake. Nina miliki kibanda ambacho wewe pia haiwezi kumiliki hiki kibanda changu.Ukisema inasaidia nini?
What is nyumba bwana!!
Wewe una miliki nini?
Familia itakuwa imebaki na uchumi mzuriKifo hakifai kabisa kaacha bonge la jumba. Huyu ndio alishinda tenda ya kutengeneza na kuandaa majukwaa kipindi cha Hayati JPM.
Hata cc wew hatujawai kukusikiaMimi sijawahi kumsikia!! Rip Td
Inategemea na kipato huyu alikuwa na kipato haswa hizi mechi kubwakubwa za ulaya alikuwa anaenda kama unavyoenda Buzza. Kuna siku za uhai wake nilimfiata kuomba kazi akiwa Benki ya Posta akiniambia anaenda Madrid kuangalia mchezo kati ya Barca na Real Madrid. Nikasema haya ndugu maana wengine tumezoea Gwambina na Namungo. Hela ikikutembelea hauwezi kuwaza ubahili ama kujinyimaDuuh Mungu noma.
Ndo maana sitaki kujitesa, ili nitajirike[emoji848]
Sana tu. Marehemu kiasi namjua toka akiwa pale PSI hawa ndio waanzilishi wa Salama Condom akaenda British Airways. Yeye na mume wake wanakipato hasa. CCM imewapa hela ndefu.Familia itakuwa imebaki na uchumi mzuri
Mbn uelewek mkuuUkitulia 'Kiumakini' sana na hasa ukijikita katika Suala zima la Yeye kuwepo huko nyuma kama Mjumbe wa iliyokuwa Bodi ya Utalii ambayo imekuwa na 'Kashfa' kadhaa za 'Ubadhirifu' Mchora Ramani Mkuu wa 'Msiba' huu wa ghafla si ngumu Kujulikana.
Samahani kidogo natoka nje ya Mada hapa eti 'Kuwekeza' Kati ya Nzega Mkoani Tabora na Kahama Mkoani Shinyanga ni wapi unaweza kupata Faida Kubwa?
Natamani sana 'Kuwekeza' hasa Nzega.
Baada ya kurudi hispania vp alikupa ajiraInategemea na kipato huyu alikuwa na kipato haswa hizi mechi kubwakubwa za ulaya alikuwa anaenda kama unavyoenda Buzza. Kuna siku za uhai wake nilimfiata kuomba kazi akiwa Benki ya Posta akiniambia anaenda Madrid kuangalia mchezo kati ya Barca na Real Madrid. Nikasema haya ndugu maana wengine tumezoea Gwambina na Namungo. Hela ikikutembelea hauwezi kuwaza ubahili ama kujinyima
Sikutaka ajira. Kuna kazi nafanya kiasi chake alinipa kazi namshukuru sana japo kazi nyingi alikuwa akiimpa mumewe ambazo zinafanana na ninazofanya mimi. Huyo dada ukisema wanawake matajiri 100 watoka kibongobongo anaweza kiwepo.Baada ya kurudi hispania vp alikupa ajira
[emoji3][emoji16][emoji23][emoji1787][emoji2][emoji1][emoji28]Umeandika kama kila mtu anamjua.
Au kupata futari Serena ndio ajulikane na kila mtu?
Naskikia katika kipindi cha miaka mitano iliyopita Muhimbili imeimarika kuliko hospitali yoyote nchini. Nadhani Aga Khan bado inatumiwa kwa sababu ya pride tu kuwa anayekwenda pale ni mtu mwenye hela!
Sikutaka ajira. Kuna kazi nafanya kiasi chake alinipa kazi namshukuru sana japo kazi nyingi alikuwa akiimpa mumewe ambazo zinafanana na ninazofanya mimi. Huyo dada ukisema wanawake matajiri 100 watoka kibongobongo anaweza kiwepo.
Hili sio sawa sana mkuu,muhimu ni kila mtu ajitahidi kuwa anachek afya yake regularly!!!Wazee wa kuandaa Iftar wamemfanyizia, sumu hiyo mazee
Hovyo kabisa,vi Dr vidogo dogo halafu wana ratiba mbovu kweli,wanakwambia Dr atapita saa 2 aku discharge then anakuja kupita saa 5.Wangemkimbiza Muhimbili. Aga Khan is overrated.
Emergency room ya Aga Khan wamejaa watoto wanafanya residence, bado wako shule! Na si kwamba kuna supervisor mbobezi anawaangalia hapana, hao vijana ndio wame take over hapo reception desk ndio wanakupokea na kuku handle mwanzo mwisho na Viingereza vya Mama Suluhu, usipokufa ndio utamwona daktari wa ukweli anapita saa nne usiku...
Halafu kila daktari kijana anaepita pita ukimhoji kuhusu hali ya mgonjwa na response ya matibabu anakwambia maamuzi ya kubadili dawa /approach ni mpaka daktari wako apite kesho asubuhi! Sasa wewe umejipitisha kufanya nini?
Code nimezifungua. Uko vizuri. PossiblyUkitulia 'Kiumakini' sana na hasa ukijikita katika Suala zima la Yeye kuwepo huko nyuma kama Mjumbe wa iliyokuwa Bodi ya Utalii ambayo imekuwa na 'Kashfa' kadhaa za 'Ubadhirifu' Mchora Ramani Mkuu wa 'Msiba' huu wa ghafla si ngumu Kujulikana.
Samahani kidogo natoka nje ya Mada hapa eti 'Kuwekeza' Kati ya Nzega Mkoani Tabora na Kahama Mkoani Shinyanga ni wapi unaweza kupata Faida Kubwa?
Natamani sana 'Kuwekeza' hasa Nzega.