Aisee fumbo la imani!Ukitulia 'Kiumakini' sana na hasa ukijikita katika Suala zima la Yeye kuwepo huko nyuma kama Mjumbe wa iliyokuwa Bodi ya Utalii ambayo imekuwa na 'Kashfa' kadhaa za 'Ubadhirifu' Mchora Ramani Mkuu wa 'Msiba' huu wa ghafla si ngumu Kujulikana.
Samahani kidogo natoka nje ya Mada hapa eti 'Kuwekeza' Kati ya Nzega Mkoani Tabora na Kahama Mkoani Shinyanga ni wapi unaweza kupata Faida Kubwa?
Natamani sana 'Kuwekeza' hasa Nzega.
Wangemkimbiza Muhimbili. Aga Khan is overrated.
Emergency room ya Aga Khan wamejaa watoto wanafanya residence, bado wako shule! Na si kwamba kuna supervisor mbobezi anawaangalia hapana, hao vijana ndio wame take over hapo reception desk ndio wanakupokea na kuku handle mwanzo mwisho na Viingereza vya Mama Suluhu, usipokufa ndio utamwona daktari wa ukweli anapita saa nne usiku...
Halafu kila daktari kijana anaepita pita ukimhoji kuhusu hali ya mgonjwa na response ya matibabu anakwambia maamuzi ya kubadili dawa /approach ni mpaka daktari wako apite kesho asubuhi! Sasa wewe umejipitisha kufanya nini?
Kabisa mkuu, wameondoka kina Prince Philip, Maalim kina BWM, siku ikifika utaenda tu.Siku yako ikifika imefika hakuna cha agkhn
Muhi2 hata upelekwe india china ujerumani!
Any way apumzike kunako staili
Ova
Mwendo kaumaliza, imani ameilinda,Mungu ampe pumziko la milel.eAisee!!
Dada Teddy kaondoka!! Kweli kifo ni fumbo mwanadamu kaumbiwa...
Alikuwa na moyo mzuri sana huyu dada, apumzike kwa amani
Alikua na roho nzuri sana. Kuna kitu alinifanyia 2017 sitakaa nisahau ule wema.Aisee!!
Dada Teddy kaondoka!! Kweli kifo ni fumbo mwanadamu kaumbiwa...
Alikuwa na moyo mzuri sana huyu dada, apumzike kwa amani
Unamsikiliza kilaza huyu.....ana uhakika gani kuwa dada wa watu alivimbiwa?Kumbeee[emoji848]View attachment 1774711
Mkuu mbona wakina Ndugai wanakimbilia india kabisa sembuse wengine kuishia hapo agha khanile hospitali ya wahindi waswahili mnaenda kufuata nini?
Kwaiyo huyu jamaa ni kilaza?Unamsikiliza kilaza huyu.....ana uhakika gani kuwa dada wa watu alivimbiwa?
Tapeli mkubwa.
Safi sanaEh bana eeh, we acha tu yani! Mie kujitesa hapana kabisa...sitaki kuja kunung’unika kaburini mie!
Kama kahela kapo hata kidogo tu tule maisha mama.
Daah kumbe alikuwa vizuri sana , so sad indeedSikutaka ajira. Kuna kazi nafanya kiasi chake alinipa kazi namshukuru sana japo kazi nyingi alikuwa akiimpa mumewe ambazo zinafanana na ninazofanya mimi. Huyo dada ukisema wanawake matajiri 100 watoka kibongobongo anaweza kiwepo.
Kama unakiri kwamba wataalam wao wanakuja kufanya part time Agha Khan kutoka Muhimbili kwa nini usimkimbize mgonjwa huko huko Muhimbili wanakofanya full time ?????Hoja ya kuwa na juniors Doctors wengi kwa shift sio kweli kwa shift wanakuepo one intern Doctor ,one Medical officer RMO na Emergence consultant na consultant wapo wanaotoka MNH kuja kufanya part time Agkhn
ile hospitali ya wahindi waswahili mnaenda kufuata so
Ni kwamba hospital za India ambazo wabongo wanakimbilia kutibiwa ni za wazungu?ile hospitali ya wahindi waswahili mnaenda kufuata nini?
Wangemkimbiza Muhimbili. Aga Khan is overrated.
Emergency room ya Aga Khan wamejaa watoto wanafanya residence, bado wako shule! Na si kwamba kuna supervisor mbobezi anawaangalia hapana, hao vijana ndio wame take over hapo reception desk ndio wanakupokea na kuku handle mwanzo mwisho na Viingereza vya Mama Suluhu, usipokufa ndio utamwona daktari wa ukweli anapita saa nne usiku...
Halafu kila daktari kijana anaepita pita ukimhoji kuhusu hali ya mgonjwa na response ya matibabu anakwambia maamuzi ya kubadili dawa /approach ni mpaka daktari wako apite kesho asubuhi! Sasa wewe umejipitisha kufanya nini?
Kweli wengine mabandama yamevimba,maini yanamaji,figo zinakokoto na wengine umeme unasumbua na hatimaye kukata mara paaaap,bwana ametoa na bwana ametwaa.....Afya za watu wanazijua wao, ni siri nzito, R.i.p
Kweli wengine mabandama yamevimba,maini yanamaji,figo zinakokote na wengine umeme unasumbua.
Mungu wetu ni fundi