Bambushka
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 3,952
- 7,218
Aisee fumbo la imani!Ukitulia 'Kiumakini' sana na hasa ukijikita katika Suala zima la Yeye kuwepo huko nyuma kama Mjumbe wa iliyokuwa Bodi ya Utalii ambayo imekuwa na 'Kashfa' kadhaa za 'Ubadhirifu' Mchora Ramani Mkuu wa 'Msiba' huu wa ghafla si ngumu Kujulikana.
Samahani kidogo natoka nje ya Mada hapa eti 'Kuwekeza' Kati ya Nzega Mkoani Tabora na Kahama Mkoani Shinyanga ni wapi unaweza kupata Faida Kubwa?
Natamani sana 'Kuwekeza' hasa Nzega.
Nzega kuna vitalu vya uwindaji? Bora makinikia
Everyday is Saturday............................... 😎