Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Mkuu usimind natania tu ila mmetuzulumu.Am I obliged to declare what am essentially doing?. Kwa kejeli zako bora nikuambie nalima Bamia. Gereji ndio Project pekee kwa Engineer eeeh!!
Mie sijambo babaMarahaba binti wetu! Adabu ndiyo hiyo
Vema kabisa mwanangu.Mie sijambo baba
Hahaha ahaha ah, we kiumbe pausa kichwa kabisa.Hata kufungua workshop ya kurepair bodaboda umeshindwa mkuu? Eng mzima unalima bamia?
natafuta kumbe mkorofi!Mkuu usimind natania tu ila mmetuzulumu.
Sakayo Mama, upo?Mie sijambo baba
Bado una nafasi maridhawa ya kurekebisha makosa yetu....Mkuu usimind natania tu ila mmetuzulumu.
nimefurahi kuona jf kumbe kuna watu wazima walioona mengi na ambao kwao kuna mambo mengi ya kujifunza .ila nyie wazee wa nyumbu bna mmetulet down .ungekuta naendesha gari langu sasanatafuta kumbe mkorofi!
Bado una nafasi maridhawa ya kurekebisha makosa yetu....
Nyumbu ndio nini binti? Kwetu hakuna cha kujifunza maana tumepitwa na wakati. Nilitmani nijue kabila lako, then naweza jua kama unaweza kujifunza kutoka kwetu!nimefurahi kuona jf kumbe kuna watu wazima walioona mengi na ambao kwao kuna mambo mengi ya kujifunza .ila nyie wazee wa nyumbu bna mmetulet down .ungekuta naendesha gari langu sasa
Anyway ningezungumza mengi uzi huu siyo mahala pake.....nimefurahi kuona jf kumbe kuna watu wazima walioona mengi na ambao kwao kuna mambo mengi ya kujifunza .ila nyie wazee wa nyumbu bna mmetulet down .ungekuta naendesha gari langu sasa
unaikana nyumbu saa hizi wakati ndo umekulea mzee? kila kabila linaweza kujifunza kutoka kwenu bnaNyumbu ndio nini binti? Kwetu hakuna cha kujifunza maana tumepitwa na wakati. Nilitmani nijue kabila lako, then naweza jua kama unaweza kujifunza kutoka kwetu!
Nipo mimiSakayo Mama, upo?
Heri ya mwaka mpya. Wanasemaje ndugu zangu kule Kapukuzi Inc
teehh nikweli ..but huwa ninaomba niishi mpka miaka 55 tu inanitosha sina mpngo wakugundua chochote duniani but ikitokea nikashindwa kufika ktk huo umri basis kazi ya mungu itkuwa haina makosaYou are heading to that direction labda kama unaomba usifike huko!
how old are you?teehh nikweli ..but huwa ninaomba niishi mpka miaka 55 tu inanitosha sina mpngo wakugundua chochote duniani but ikitokea nikashindwa kufika ktk huo umri basis kazi ya mungu itkuwa haina makosa
si kweli, mila ina nafasi kubwa kwenye maisha yetu!unaikana nyumbu saa hizi wakati ndo umekulea mzee? kila kabila linaweza kujifunza kutoka kwenu bna
ila nimependa ilivyojitetea... anajua kwa utetezi huo hakuna atakayembishia ukizingatia kwamba nchi hii wanasiasa wana ushawishi mkubwa sana kuliko hata wasomi na wataalam wa kada mbalimbali.wala siyo watani, mtu anaposema yeye ni automobile engineer, unategemea clue ya kuunda gari nchini or something of that nature..................... 1987 todate hakuna clue!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Tulijaribu kuunda nikiwa Engineer Nyumbu....siasa ikaingilia....
basi siijui maana nyumbu nimelisikia juzi tu.unaikana nyumbu saa hizi wakati ndo umekulea mzee? kila kabila linaweza kujifunza kutoka kwenu bna
nadhani ndugu yake ndio alikuwa mwanamuzi. namzungumzia deo mwanambilimbi.So picha ya marehemu ina ruhusiwa kuweka humu?/Unclassified? Juzi nimesikia Rais Kagame ni komando kumbe marehemu naye alikuwa muFTC. Wakati tukijua ni mwanamziki.
Pumzika kwa amani Teddy.
nadhani ndugu yake ndio alikuwa mwanamuzi. namzungumzia deo mwanambilimbi.