TANZIA Teddy Mwanambilimbi hatunaye tena

TANZIA Teddy Mwanambilimbi hatunaye tena

Status
Not open for further replies.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Tulijaribu kuunda nikiwa Engineer Nyumbu....siasa ikaingilia....
Aisee kwa post hii naona nia yangu ya kuwapelekea order ya kuniundia gari ninalolitaka inaanza kuyeyuka.
===
R.I.P Teddy.
 
Alikuja kumalizia moshi tech na nilikuwa naye class moja na tulimaliza wote
1984. R. I. P mate wangu.
Mbona alikuwa anahama ama vyuo mara IFUNDA,ARUSHA na wewe unasema MOSHI nahisi ndio maana alikuwa IKULU.
 
Kweli kabisa, tena alikuwa Intelligence muda mrefu sana sana...
RIP Teddy...
Yaani toka 2008 unatupost 4000 tu!...Kweli mnatu-enjoy!
====
Kumbe sanaa kwa maneno mengine ni intelligence, mnajua kweli kutupeleka 'mbio mbio'. ha ha haaa !!
 
Jina Baya umponza mwenye nalo utaitaje kiwanda Nyumbu kwanza ethics za nyumbu kwanza!!....hivyo kiwanda kingekufa mambo ya kujifanya uzalendo na kutukuza mbuga ni upofu.
Wait a minute...!! Huu utetezi sikubaliani nao hata kidogo. Urusi wanaita viwanda hata silaha watengenezazo majina mabaya mbaya tena mengine ya kuchekesha kweli bado viwanda vinakuwa bora na bidhaa zikiwa za hali ya juu! Huo ni mfano wa nchi moja tu.
 
"ku-assemble" vyuma na Injini lakin badala ya kwenda mbele vyuma hivyo vilivyoungwa pamoja na injini (wenyewe wanaita gari) vikawa vinarudi nyuma.
Hivi unajua unachokejeli ni mali ya watanzania,eh !? Kuwa makini.
 
Elimu ya kuunga-unga no wonder mlishindwa pale Nyumbu pamoja na support toka kwa Mzee Nyerere (Mungu amrehemu huko alipo). Nyie ndio mmechangia pakubwa kudumaza taifa hili. Mmefyonza ruzuku za serikali lakini output SIFURI.
Yawezekana Uko sahihi. Nadhani pia hujui mfumo wa Elimu Tanzania. Sina Elimu ya kuunga unga. Ni mtazamo wako finyu tu. Those good old days ukichaguliwa (Siyo ukifauli maana katika wilaya mnaweza mkafaulu watu 200 lakini wilaya husika inatengewa nafasi say 40), ulikuwa aidha unapelekwa Tech.schools kama Ifunda, Moshi and Mtwara Tech.secondary schools au Unachaguliwa kwenda Rungwe, Njoss, Tosa etc. Ukifaulu toka tech. Schools unachaguliwa kwenda Arusha, Dar es salaam or Mbeya Technical colleges for three yrs. Wakati mchepuo wa pili unachaguliwa kwenda Form five and six for two years. Iliwezekana pia mifumo yote kuingiliana. Technical school leavers to join form five and vice versa kutegemeana na ufaulu wako na jinsi ulivyo jaza kwenye SELL FORM. Then you meet at Usdm for Engineering course.
 
Mbona alikuwa anahama ama vyuo mara IFUNDA,ARUSHA na wewe unasema MOSHI nahisi ndio maana alikuwa IKULU.
Acha hisi zako zisizo na maana. Yaani kwa umri wa miaka 20 aliyokuwa nayo kipindi kile awe ikulu anafanya kazi?
Siamini katika hilo but what I remember ni kuwa alihamia na tukawa naye kwenye course moja ya mechanical engineering mimi nikiwa fitter and turner mechanics na yeye akiwa motor vehicle mechanics. Na kumbuka huko ni sekondari na sio chuo. Alikuwa mpole sana japo alitokea dar na hakuwa na mambo ya ubishoo kama wengine waliotokea dar. R. I. P best japo hatukuwahi kukutana tangu November 1984.
 
Uko sahihi. Baada ya kufukuzwa shule Ifunda alitafutiwa shule Moshi Tech.sec school. Baba yake mzee Mwanambilimbi alikuwa Mkurugenzi wa Kampuni fulani ya Umma by then....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom