kedekede
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 5,313
- 7,714
marahabaApumzike kwa amani
Shkamo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
marahabaApumzike kwa amani
Shkamo
MarahabaAisee wengine tulikuwa hatujafikiriwa kuzaliwa kabisa dah, shikamoo mkuu
Aisee kwa post hii naona nia yangu ya kuwapelekea order ya kuniundia gari ninalolitaka inaanza kuyeyuka.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Tulijaribu kuunda nikiwa Engineer Nyumbu....siasa ikaingilia....
niamkie tafadhariMarahaba kijana,
We mtoto mdogo mimi nimeanza darasa la kwanza 1978,sasa unganisha dots upate umri wako,then uamkie alafu ukakojoe ukalale mkuu.niamkie tafadhari
Mbona alikuwa anahama ama vyuo mara IFUNDA,ARUSHA na wewe unasema MOSHI nahisi ndio maana alikuwa IKULU.Alikuja kumalizia moshi tech na nilikuwa naye class moja na tulimaliza wote
1984. R. I. P mate wangu.
We mtoto mdogo mimi nimeanza darasa la kwanza 1978,sasa unganisha dots upate umri wako,then uamkie alafu ukakojoe ukalale mkuu.
Ule wa kuchuchumaa mkuu unaotoka bila kupata kitu cha kuboost.hahaha kukojoa kupi huko !mkojo au kojo> lol!
Yaani toka 2008 unatupost 4000 tu!...Kweli mnatu-enjoy!Kweli kabisa, tena alikuwa Intelligence muda mrefu sana sana...
RIP Teddy...
Ule wa kuchuchumaa mkuu unaotoka bila kupata kitu cha kuboost.
Wait a minute...!! Huu utetezi sikubaliani nao hata kidogo. Urusi wanaita viwanda hata silaha watengenezazo majina mabaya mbaya tena mengine ya kuchekesha kweli bado viwanda vinakuwa bora na bidhaa zikiwa za hali ya juu! Huo ni mfano wa nchi moja tu.Jina Baya umponza mwenye nalo utaitaje kiwanda Nyumbu kwanza ethics za nyumbu kwanza!!....hivyo kiwanda kingekufa mambo ya kujifanya uzalendo na kutukuza mbuga ni upofu.
Oh No! What is this now, uh!?Yes alikuwa huko. Kwa sasa alikuwa attached kwenye standard gauge
Hivi unajua unachokejeli ni mali ya watanzania,eh !? Kuwa makini."ku-assemble" vyuma na Injini lakin badala ya kwenda mbele vyuma hivyo vilivyoungwa pamoja na injini (wenyewe wanaita gari) vikawa vinarudi nyuma.
Mna bahati tuko JF, tungekuwa ukumbi wa VETA Mwanza mgenitambua na kejeli hizi.Gari za nyumbu ndo zile ukikunja kona kulia inakunja kushoto?????
Yawezekana Uko sahihi. Nadhani pia hujui mfumo wa Elimu Tanzania. Sina Elimu ya kuunga unga. Ni mtazamo wako finyu tu. Those good old days ukichaguliwa (Siyo ukifauli maana katika wilaya mnaweza mkafaulu watu 200 lakini wilaya husika inatengewa nafasi say 40), ulikuwa aidha unapelekwa Tech.schools kama Ifunda, Moshi and Mtwara Tech.secondary schools au Unachaguliwa kwenda Rungwe, Njoss, Tosa etc. Ukifaulu toka tech. Schools unachaguliwa kwenda Arusha, Dar es salaam or Mbeya Technical colleges for three yrs. Wakati mchepuo wa pili unachaguliwa kwenda Form five and six for two years. Iliwezekana pia mifumo yote kuingiliana. Technical school leavers to join form five and vice versa kutegemeana na ufaulu wako na jinsi ulivyo jaza kwenye SELL FORM. Then you meet at Usdm for Engineering course.Elimu ya kuunga-unga no wonder mlishindwa pale Nyumbu pamoja na support toka kwa Mzee Nyerere (Mungu amrehemu huko alipo). Nyie ndio mmechangia pakubwa kudumaza taifa hili. Mmefyonza ruzuku za serikali lakini output SIFURI.
Kwanini alitimuliwa ?Duuh RIP Teddy. Nimesoma naye Ifunda Tech. Sec. School Ingawa alifukuzwa then tukakutana naye Arusha Tech. College
Shuleni ujana una mambo mengi.....Kwanini alitimuliwa ?
Acha hisi zako zisizo na maana. Yaani kwa umri wa miaka 20 aliyokuwa nayo kipindi kile awe ikulu anafanya kazi?Mbona alikuwa anahama ama vyuo mara IFUNDA,ARUSHA na wewe unasema MOSHI nahisi ndio maana alikuwa IKULU.
Marahaba mwanangu.Shikamoo baba, yaani nilikua hata sijazaliwa lol!
Uko sahihi. Baada ya kufukuzwa shule Ifunda alitafutiwa shule Moshi Tech.sec school. Baba yake mzee Mwanambilimbi alikuwa Mkurugenzi wa Kampuni fulani ya Umma by then....Acha hisi zako zisizo na maana. Yaani kwa umri wa miaka 20 aliyokuwa nayo kipindi kile awe ikulu anafanya kazi?
Siamini katika hilo but what I remember ni kuwa alihamia na tukawa naye kwenye course moja ya mechanical engineering mimi nikiwa fitter and turner mechanics na yeye akiwa motor vehicle mechanics. Na kumbuka huko ni sekondari na sio chuo. Alikuwa mpole sana japo alitokea dar na hakuwa na mambo ya ubishoo kama wengine waliotokea dar. R. I. P best japo hatukuwahi kukutana tangu November 1984.