Yawezekana Uko sahihi. Nadhani pia hujui mfumo wa Elimu Tanzania. Sina Elimu ya kuunga unga. Ni mtazamo wako finyu tu. Those good old days ukichaguliwa (Siyo ukifauli maana katika wilaya mnaweza mkafaulu watu 200 lakini wilaya husika inatengewa nafasi say 40), ulikuwa aidha unapelekwa Tech.schools kama Ifunda, Moshi and Mtwara Tech.secondary schools au Unachaguliwa kwenda Rungwe, Njoss, Tosa etc. Ukifaulu toka tech. Schools unachaguliwa kwenda Arusha, Dar es salaam or Mbeya Technical colleges for three yrs. Wakati mchepuo wa pili unachaguliwa kwenda Form five and six for two years. Iliwezekana pia mifumo yote kuingiliana. Technical school leavers to join form five and vice versa kutegemeana na ufaulu wako na jinsi ulivyo jaza kwenye SELL FORM. Then you meet at Usdm for Engineering course.