TANZIA Teddy Mwanambilimbi hatunaye tena

TANZIA Teddy Mwanambilimbi hatunaye tena

Status
Not open for further replies.
nimefurahi kuona jf kumbe kuna watu wazima walioona mengi na ambao kwao kuna mambo mengi ya kujifunza .ila nyie wazee wa nyumbu bna mmetulet down .ungekuta naendesha gari langu sasa
Nyumbu ndio nini binti? Kwetu hakuna cha kujifunza maana tumepitwa na wakati. Nilitmani nijue kabila lako, then naweza jua kama unaweza kujifunza kutoka kwetu!
 
nimefurahi kuona jf kumbe kuna watu wazima walioona mengi na ambao kwao kuna mambo mengi ya kujifunza .ila nyie wazee wa nyumbu bna mmetulet down .ungekuta naendesha gari langu sasa
Anyway ningezungumza mengi uzi huu siyo mahala pake.....
 
Nyumbu ndio nini binti? Kwetu hakuna cha kujifunza maana tumepitwa na wakati. Nilitmani nijue kabila lako, then naweza jua kama unaweza kujifunza kutoka kwetu!
unaikana nyumbu saa hizi wakati ndo umekulea mzee? kila kabila linaweza kujifunza kutoka kwenu bna
 
You are heading to that direction labda kama unaomba usifike huko!
teehh nikweli ..but huwa ninaomba niishi mpka miaka 55 tu inanitosha sina mpngo wakugundua chochote duniani but ikitokea nikashindwa kufika ktk huo umri basis kazi ya mungu itkuwa haina makosa
 
teehh nikweli ..but huwa ninaomba niishi mpka miaka 55 tu inanitosha sina mpngo wakugundua chochote duniani but ikitokea nikashindwa kufika ktk huo umri basis kazi ya mungu itkuwa haina makosa
how old are you?
 
Ni jambo la kusikitisha Nyumbu walifanikiwa "ku-assemble" vyuma na Injini lakin badala ya kwenda mbele vyuma hivyo vilivyoungwa pamoja na injini (wenyewe wanaita gari) vikawa vinarudi nyuma. Jambo pekee kambi zilizofanikiwa Ni kujenga kumbi za Sherehe, bar na shule zenye matokeo hafifu katika taaluma.
**Mnatuvisha majoho mazito wananchi.
 
wala siyo watani, mtu anaposema yeye ni automobile engineer, unategemea clue ya kuunda gari nchini or something of that nature..................... 1987 todate hakuna clue!
ila nimependa ilivyojitetea... anajua kwa utetezi huo hakuna atakayembishia ukizingatia kwamba nchi hii wanasiasa wana ushawishi mkubwa sana kuliko hata wasomi na wataalam wa kada mbalimbali.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Tulijaribu kuunda nikiwa Engineer Nyumbu....siasa ikaingilia....
 
unaikana nyumbu saa hizi wakati ndo umekulea mzee? kila kabila linaweza kujifunza kutoka kwenu bna
basi siijui maana nyumbu nimelisikia juzi tu.
JF wapo wazee ila nadra kupost maana kuna akina Natafuta wanatafuta vijana wenzao wajibizane, not wazee , which is good
 
So picha ya marehemu ina ruhusiwa kuweka humu?/Unclassified? Juzi nimesikia Rais Kagame ni komando kumbe marehemu naye alikuwa muFTC. Wakati tukijua ni mwanamziki.

Pumzika kwa amani Teddy.
nadhani ndugu yake ndio alikuwa mwanamuzi. namzungumzia deo mwanambilimbi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom