Uchaguzi 2020 TEF yamaliza Mgogoro wa TBC na CHADEMA, wapeana Mkono

Sheria za utangazajj haziruhusu kuonyesha au kutangaza mtu akimwaattack mwingine bila kumpa nafasi mwingine kujitetea. Lazima ubalance habari
Kama vile kumwambia mgombea mwenzio hawezi kuwa Rais utampa nafansi ndogondogo eti
 
Wamefanya jambo jema na jambo lakiungwana.ila ninavyoona ni kama tasnia ya habari imekumbwa na sintofahamu kubwa sana kipindi hiki.Mtu kama Balile,Ryoba hawa watu walikua vichwa kweli kweli kwenye hiyo tasnia,walikua wanaandika makala safi zakulisaidia taifa ila sasa nikama wamepigwa ganzi.Tasnia ya habari kuna shida kubwa mahali japo haiwekwi wazi.
 
CDM ndiyo wamenywea
Hakuna kitu kama hicho TBC kutorusha mikutano ya upinzani ilikuwa inaleta doa kubwa sana kwao.

Hata kufukuzwa mkutanoni kuliwachafua sana nadhani hata views zilipungua sana kwa watu.

Maana hata mkutano wa ACT walilalamikiwa hivyo hivyo.
 
Naona umempandia mtu jukwaani unatoa vocal za kisiasa

Kuwa na vyama vingi ni muhimu sana kwa maendeleo ya nchi lakini Wapinzani wanataka kupoteza maana halisi ya demokrasia ya vyama vingi
 
Walipoona wote wamepuuzwa na chadema ikabidi wazungukie kwa watu wa pembeni wapatanishwe na tbc wametoa vipindi bure ,kelele nyingi halafu wamenyoosha mikono juu,chadema haihitaji tbc ila tbc inahitaji chadema
 
Jumatatu asubuhi ya jua la vitamin D... Ryoba atakutana na barua ya Msigwa!
 
Kuwa na vyama vingi ni muhimu sana kwa maendeleo ya nchi lakini Wapinzani wanataka kupoteza maana halisi ya demokrasia ya vyama vingi

Hongera nafurah kwa ajili yako. Upo smart kichwani
 
Ayubu Ryoba alikuwaga na akili zamani akiwa mwanaharakati lakini baada ya kupata cheo hekima zote zikaisha. Amekuwa kama Polepole au katibu mkuu wa ccm.
 
TBC dhamira imewasuta, hawaaminiki. Waliona itv kipindi chao cha dakika 45 na Lissu kilivopata mwitikio chanya. Zaidi ya 3/4 ya vipindi vgao kusifu tu serikali,tena mtu moja. Kwa sasa hauzi,walijisikia vibaya walivozomewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…