Siyo kweli kama hivyo ndivyo kwanini mmliki wa SACCOSS amekubali kukaa meza ya maridhiano ? .Hakuna kitu kama hicho TBC kutorusha mikutano ya upinzani ilikuwa inaleta doa kubwa sana kwao.
Hata kufukuzwa mkutanoni kuliwachafua sana nadhani hata views zilipungua sana kwa watu.
Maana hata mkutano wa ACT walilalamikiwa hivyo hivyo.
Kila mtu yupo smart mkuu ila kinachotufanya tuonekane tofauti ni ubinafsi na ukweli wa hali halisi Kati yetuHongera nafurah kwa ajili yako. Upo smart kichwani
Ila Mbowe hua ana busara za kidwanzi sana,sasa amewalegezea hao jamaa ili iweje sasa wkt wataendelea na utaratibu wao huo huoHakuna kitu kama hicho TBC kutorusha mikutano ya upinzani ilikuwa inaleta doa kubwa sana kwao.
Hata kufukuzwa mkutanoni kuliwachafua sana nadhani hata views zilipungua sana kwa watu.
Maana hata mkutano wa ACT walilalamikiwa hivyo hivyo.
Saccos ndiyo nini ?Siyo kweli kama hivyo ndivyo kwanini mmliki wa SACCOSS amekubali kukaa meza ya maridhiano ? .
Hahaha hapana ngoja tuone watabadilika vipiIla Mbowe hua ana busara za kidwanzi sana,sasa amewalegezea hao jamaa ili iweje sasa wkt wataendelea na utaratibu wao huo huo
Jino kwa jino ilikua ndio mpango mzima.
Braza viatu uliishavishona?
Watabadilikaje wkt Paymaster ni yule yule mkuu?Hahaha hapana ngoja tuone watabadilika vipi
Tbc itakua wameona habari zakurusha mgombea wa ccm tu hazina hamsha hamsha imewabidi wajisogeze tena cdm angalau wasikike.
Then tutawafukuza tenaWatabadilikaje wkt Paymaster ni yule yule mkuu?
SACCOS ni Asasi ya fedha ya ushirika inayoundwa na watu waliojiunga pamoja kwa hiari yao wenyeweSaccos ndiyo nini ?
Sasa inahusiana nini na hii mada ?SACCOS ni Asasi ya fedha ya ushirika inayoundwa na watu waliojiunga pamoja kwa hiari yao wenyewe
ambao wamekubaliana kuweka fedha zao pamoja na kukopeshana kwa lengo la kujiendeleza kiuchumi[emoji23][emoji23][emoji23]
SACCOS ni Asasi ya fedha ya ushirika inayoundwa na watu waliojiunga pamoja kwa hiari yao wenyewe
ambao wamekubaliana kuweka fedha zao pamoja na kukopeshana kwa lengo la kujiendeleza kiuchumi😂😂😂
Mimi nimekujibu ulichouliza mkuuSasa inahusiana nini na hii mada ?
Kanawe miguu ulale, baada ya kushindilia mutuisheBraza viatu uliishavishona?
Mimi nimekujibu ulichouliza mkuu