MtotoKautaka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 993
- 2,045
Tulia utajambaTafuta kazi nyingine huwezi siasa we nyumbu
Tulia utajambaTafuta kazi nyingine huwezi siasa we nyumbu
TuliaTafuta kazi nyingine huwezi siasa we nyumbu
😂😂😂 Mimi namlaumu magufuli tu alituingiza cha kike pale ni zero Brain 🤣🤣🤣We bwege unaota ndoto za kipuuzi, lofa km Lissu ampe amiri jeshi mkuu pressure? Vijana wa sk hizi hamna akili kabisa
Ki ukweli Rais lazima awe na pressure, kwani tumembebesha mzigo mkubwa.We bwege unaota ndoto za kipuuzi, lofa km Lissu ampe amiri jeshi mkuu pressure? Vijana wa sk hizi hamna akili kabisa
Majambazi ya kura yakiongea bila aibu.Wishful thinking. Tulieni mahakama ifanye kazi yake. Mhe. Rais hawezi kupata pressure kwasababu ya maneno ya genge la mamluki.
LGBTQ simnaishi nao kabisa wakuu hadi mkamkana Makondakta mnasahau mapema sana vegetablesnaona kesi ya lissu iahirishwe hadi tumalize msiba wa papa, vipi armstedarm alishapeleka kesi kwenye jumuia za LGBT?
Fact wakiona wanashindwa lazima watampiga mkwala tu jaji asitokee maahakaniKwa kifupi Pressure kwa mama ni kubwa walitegemea siasa za kupita mlango wa nyuma ila kwa TATA LISU NA HECHE wamegonga mwamba.
Kuna uwezekano mkubwa LISSU kutoletwa mahakamani au jaji kutokomea kusikojulikana na kuanzia tarehe 23/4 mpaka 26/4 jiandae kwa matukio ya kijinga kwa WASANII wetu ya kuvujisha CONNECTION ili kupoteza tension za lissu.
Stay tuned
kwann jaman haki isitendeke nchi hii? mbona ni rahisi tu watu nwatakuelewa?Dalili zinaonekana kabisaaa
Wanataka kukimbia kesi yao?Kwa kifupi Pressure kwa mama ni kubwa walitegemea siasa za kupita mlango wa nyuma ila kwa TATA LISU NA HECHE wamegonga mwamba.
Kuna uwezekano mkubwa LISSU kutoletwa mahakamani au jaji kutokomea kusikojulikana na kuanzia tarehe 23/4 mpaka 26/4 jiandae kwa matukio ya kijinga kwa WASANII wetu ya kuvujisha CONNECTION ili kupoteza tension za lissu.
Stay tuned
😀😀Siku hiyo Mutatokomea kumapori ya Kongo na mutazomowe bukilabukona muvimbe na mufuree
Ngoja tuoneKwa jinsi pressure ilivyo kubwa hawatathubutu kufanya kosa la kutomleta mahakamani