Tegeta Escrow: Je, David Kafulila anakumbukwa kwa lipi baada ya Kifo cha Jaji Werema?

YAY

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2024
Posts
879
Reaction score
873
IMG-20241230-WA0240.jpg

Roho ya Marehemu ipate rehema kwa Mungu na ipumzike kwa amani -AMINA

Leo mara baada ya kupata taarifa za kifo cha aliyewahi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya awamu ya nne (4) chini ya Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete Hayati Jaji Frederick Werema,

Kwa haraka nikamkumbuka aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kusini Mhe David Zacharia Kafulila namna alivyo pambana Bungeni na Mwanasheria huyo Mkuu wa Serikali Jaji Werema akiitetea Serikali dhidi Kafulila aliyekuwa akiwatetea Wananchi katika kashfa ya uchotaji wa pesa kwenye akaunti ya Tegeta Escrow zaidi TZS221 bilioni.

Sitaki kurejea sakati lile, Ila..

Kijana shujaa David Kafulila pamoja na mapambano yale yote bahati mbaya shujaa huyu hakuwahi kutambuliwa popote Tanzania ( Officially) kama shujaa wa mapambano dhidi ya rushwa na ufisadi zaidi ya watu kupambana kuhakikisha harudi tena Bungeni kabla na baada ya 2015 jambo walifanikiwa.

Kifo cha Jaji Frederick Werema kinaturejesha na kutukumbusha kusahaulika kabisa kwa David Kafulila kwenye medani za siasa za kupamba na rushwa na ufisadi huenda hii ikawa ni ishara ya nchi yetu kuchukia wanaochukia rushwa na Ufisadi kwa moyo na nguvu zao zote aina ya David Kafulila.

Swali ni Je, leo hii kwanini hakuna tena akina David Kafulila wengine Bungeni?

Soma pia AG Jaji Werema: Kafulila aliniita mwizi nikamwita "tumbili"

Mwaka 2030 kama maamuzi yangekuwa ni yangu basi David Kafulila ningemkabidhi Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzània mara baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kumaliza muda wake ili aendelee kupambana na rushwa na Ufisadi kama kiongozi mkuu wa Serikali.

Na, hii ndio Legacy ya David Kafulila Kwenye Taifa la Tanzania itakayo andikwa siku moja kwa wino wa dhahabu.

==
 
View attachment 3188723
Roho ya Marehemu ipate rehema kwa Mungu na ipumzike kwa amani -AMINA

Leo baada ya kupata taarifa za kifo cha aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya awamu ya nne (4) Mhe Jaji Werema,

Haraka nikamkumbuka aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kusini Mhe David Zacharia Kafulila namna walivyopambana Bungeni katika kashfa ya uchotaji wa pesa kwenye akaunti ya Tegeta Escrow zaidi TZS321 bilioni.

Sitaki kurejea sakati lile, Ila..

Kafulila pamoja na mapambano yale yote bahati mbaya Kafulila hakuwahi kutambuliwa popote Tanzania kama shujaa wa mapambano ya rushwa na ufisadi zaidi ya watu kupambana kuhakikisha harudi tena Bungeni kabla na baada ya 2015.

Kifo cha Jaji Werema na kusahaulika kabisa kwa David Kafulila kwenye medani za siasa za kupamba na rushwa na ufisadi ni ishara ya nchi yetu kuchukia wanaochukia rushwa na Ufisadi kwa moyo na nguvu zao zote.

Swali, Je, Leo hii hakuna akina Kafulila wengine Bungeni?

2030 kama maamuzi yangekuwa ni yangu basi David Kafulila ningemkabidhi Urais wa JMT mara baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kumaliza muda wake ili apambane na rushwa na Ufisadi ulioota madevu na masharubu.

Je, ni wangapi mnawaza kama Mimi kuhusu Urais na Kafulila?

Mungu ibariki Tanzania,

View: https://youtu.be/Qg5dWRyjVOE?si=ako4Bhu7IRztYfv_

Kafulila anafaa sana jamani
 
Kafulila ni YEYE
 
na ile escrow aliweka mfukoni 6billion kodi za watanzania, wenzie walirudisha yeye na chenge waligoma. sasaivi watoto wake ndio wanafaidi.
 
Back
Top Bottom