Small letter
JF-Expert Member
- Jun 7, 2024
- 311
- 188
R.IP
View attachment 3188723
Roho ya Marehemu ipate rehema kwa Mungu na ipumzike kwa amani -AMINA
Leo baada ya kupata taarifa za kifo cha aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya awamu ya nne (4) Mhe Jaji Werema,
Haraka nikamkumbuka aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kusini Mhe David Zacharia Kafulila namna walivyopambana Bungeni katika kashfa ya uchotaji wa pesa kwenye akaunti ya Tegeta Escrow zaidi TZS321 bilioni.
Sitaki kurejea sakati lile, Ila..
Kafulila pamoja na mapambano yale yote bahati mbaya Kafulila hakuwahi kutambuliwa popote Tanzania kama shujaa wa mapambano ya rushwa na ufisadi zaidi ya watu kupambana kuhakikisha harudi tena Bungeni kabla na baada ya 2015.
Kifo cha Jaji Werema na kusahaulika kabisa kwa David Kafulila kwenye medani za siasa za kupamba na rushwa na ufisadi ni ishara ya nchi yetu kuchukia wanaochukia rushwa na Ufisadi kwa moyo na nguvu zao zote.
Swali, Je, Leo hii hakuna akina Kafulila wengine Bungeni?
2030 kama maamuzi yangekuwa ni yangu basi David Kafulila ningemkabidhi Urais wa JMT mara baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kumaliza muda wake ili apambane na rushwa na Ufisadi ulioota madevu na masharubu.
Je, ni wangapi mnawaza kama Mimi kuhusu Urais na Kafulila?
Mungu ibariki Tanzania,
View: https://youtu.be/Qg5dWRyjVOE?si=ako4Bhu7IRztYfv_
Kamdalalia nani?Kafulila a.k.a tumbili ndio shujaa??
Huyu mwongo na dalali wa wawekezaji uchwara?
Nimesema kisiasa? Kafulila je ni Mbunge? Waziri?Waijua nafasi ya Kafulila Kwa sasa hapa nchini?; wajua mshahara wake na marupurupu?. Hajasahaulika Kamwe; anekumbukwa kivingine
Tafuta urefu wa kipenyo, basi hizo hesabu nilikuwaga sikosi kabisa enzi zangu.Waijua nafasi ya Kafulila Kwa sasa hapa nchini?; wajua mshahara wake na marupurupu?. Hajasahaulika Kamwe; anekumbukwa kivingine
Urais wa tff utamfaa sio wa nchiHakika Kafulila apewe Urais atunyooshee hii nchi
Wewe uchawa wako haujakilipa bado?Kafulila alikuwa wakala wa machawa wa utawala ule, imemlipa mpaka leo
Wa TFF abaki Caria anatisha Kafulila ni Rais wa JMT anafaa sana tuUrais wa tff utamfaa sio wa nchi
View attachment 3188723
Roho ya Marehemu ipate rehema kwa Mungu na ipumzike kwa amani -AMINA
Leo baada ya kupata taarifa za kifo cha aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya awamu ya nne (4) Mhe Jaji Werema,
Haraka nikamkumbuka aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kusini Mhe David Zacharia Kafulila namna walivyopambana Bungeni katika kashfa ya uchotaji wa pesa kwenye akaunti ya Tegeta Escrow zaidi TZS321 bilioni.
Sitaki kurejea sakati lile, Ila..
Kafulila pamoja na mapambano yale yote bahati mbaya Kafulila hakuwahi kutambuliwa popote Tanzania kama shujaa wa mapambano ya rushwa na ufisadi zaidi ya watu kupambana kuhakikisha harudi tena Bungeni kabla na baada ya 2015.
Kifo cha Jaji Werema na kusahaulika kabisa kwa David Kafulila kwenye medani za siasa za kupamba na rushwa na ufisadi ni ishara ya nchi yetu kuchukia wanaochukia rushwa na Ufisadi kwa moyo na nguvu zao zote.
Swali, Je, Leo hii hakuna akina Kafulila wengine Bungeni?
2030 kama maamuzi yangekuwa ni yangu basi David Kafulila ningemkabidhi Urais wa JMT mara baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kumaliza muda wake ili apambane na rushwa na Ufisadi ulioota madevu na masharubu.
Je, ni wangapi mnawaza kama Mimi kuhusu Urais na Kafulila?
Mungu ibariki Tanzania,
View: https://youtu.be/Qg5dWRyjVOE?si=ako4Bhu7IRztYfv_
Marehemu hasemwi vibaya mkuuPesa alizoiba anaenda nazo?
Zipi hizo Mkuu?Kwakuwa uzi unamhusu Kafulila kama kawaida zile ID zake na zile zinazochukua posho kumpamba zimeshafika kutia comment zao.
View attachment 3188723
Roho ya Marehemu ipate rehema kwa Mungu na ipumzike kwa amani -AMINA
Leo baada ya kupata taarifa za kifo cha aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya awamu ya nne (4) Mhe Jaji Werema,
Haraka nikamkumbuka aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kusini Mhe David Zacharia Kafulila namna walivyopambana Bungeni katika kashfa ya uchotaji wa pesa kwenye akaunti ya Tegeta Escrow zaidi TZS321 bilioni.
Sitaki kurejea sakati lile, Ila..
Kafulila pamoja na mapambano yale yote bahati mbaya Kafulila hakuwahi kutambuliwa popote Tanzania kama shujaa wa mapambano ya rushwa na ufisadi zaidi ya watu kupambana kuhakikisha harudi tena Bungeni kabla na baada ya 2015.
Kifo cha Jaji Werema na kusahaulika kabisa kwa David Kafulila kwenye medani za siasa za kupamba na rushwa na ufisadi ni ishara ya nchi yetu kuchukia wanaochukia rushwa na Ufisadi kwa moyo na nguvu zao zote.
Swali, Je, Leo hii hakuna akina Kafulila wengine Bungeni?
2030 kama maamuzi yangekuwa ni yangu basi David Kafulila ningemkabidhi Urais wa JMT mara baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kumaliza muda wake ili apambane na rushwa na Ufisadi ulioota madevu na masharubu.
Je, ni wangapi mnawaza kama Mimi kuhusu Urais na Kafulila?
Mungu ibariki Tanzania,
View: https://youtu.be/Qg5dWRyjVOE?si=ako4Bhu7IRztYfv_
Jamaa anafaa sanaTumbili for presidency
Kafulila Yuko Kitaifa zaidi na ni mtu anachukia sana rushwa na ufisadi tangu ujana wakeHakika kuliko Zitto ambae yeye anaiwaza kigoma tu
Ofcoz namkubali sana..Urais unamfaa zaidi Kafulila Kwakuwa ni mtu mtulivu hana migogoro na wenzake lakini pia uelewa wake ni mpana sana