Mageuzi gani ya akina Mbowe na Lissu?Tumbili atakumbukwa Kwa kusaliti mageuzi naye muda sio mrefu atakufa kama ambavyo dictator magufuli alivyokufa.
Jesca yeye Kwa Sasa Yuko wapi?Kama mke wa Kafulila anayelala nae kitanda kimoja huku akimkuna kitambi hana imani na Kafulila na anamuona ni mwanasiasa asiye na msimamo wewe chawa utatuambia nini?View attachment 3188727
Wewe ndio Jesca?Kama mke wa Kafulila anayelala nae kitanda kimoja huku akimkuna kitambi hana imani na Kafulila na anamuona ni mwanasiasa asiye na msimamo wewe chawa utatuambia nini?View attachment 3188727
Anamisimami sana kukataa rushwaKafulila akiwa Rais watu wanalimia kwa meno😆😆
Asamehewe tu ndio kanuni ya MunguHakuna cha apumzike kwa amani wala nini.
Kwa kuliingiza Taifa kwenye taabu kubwa, itapendeza na yeye kama atateseka kama ulivyokuwa kwa tajiri aliyemlisha makombo masikini Lazaro.
CHADEMA inao 20 mbonaYatapatikana wapi wakati ni Bunge la Chama kimoja?
Na wote ni wagonga madawati ya bunge!
Hiyo kanuni haipo. Kama ndo hivyo hakuna atakayeenda moyoni.Asamehewe tu ndio kanuni ya Mungu
Kazi ipi hapo chawa Kafanya?Chawa kazini.
Kafulila anafaa sana jamaniView attachment 3188723
Roho ya Marehemu ipate rehema kwa Mungu na ipumzike kwa amani -AMINA
Leo baada ya kupata taarifa za kifo cha aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya awamu ya nne (4) Mhe Jaji Werema,
Haraka nikamkumbuka aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kusini Mhe David Zacharia Kafulila namna walivyopambana Bungeni katika kashfa ya uchotaji wa pesa kwenye akaunti ya Tegeta Escrow zaidi TZS321 bilioni.
Sitaki kurejea sakati lile, Ila..
Kafulila pamoja na mapambano yale yote bahati mbaya Kafulila hakuwahi kutambuliwa popote Tanzania kama shujaa wa mapambano ya rushwa na ufisadi zaidi ya watu kupambana kuhakikisha harudi tena Bungeni kabla na baada ya 2015.
Kifo cha Jaji Werema na kusahaulika kabisa kwa David Kafulila kwenye medani za siasa za kupamba na rushwa na ufisadi ni ishara ya nchi yetu kuchukia wanaochukia rushwa na Ufisadi kwa moyo na nguvu zao zote.
Swali, Je, Leo hii hakuna akina Kafulila wengine Bungeni?
2030 kama maamuzi yangekuwa ni yangu basi David Kafulila ningemkabidhi Urais wa JMT mara baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kumaliza muda wake ili apambane na rushwa na Ufisadi ulioota madevu na masharubu.
Je, ni wangapi mnawaza kama Mimi kuhusu Urais na Kafulila?
Mungu ibariki Tanzania,
View: https://youtu.be/Qg5dWRyjVOE?si=ako4Bhu7IRztYfv_
Yes wekeni hiyo clipWeka clip ya tumbili
Kafulila ni YEYEView attachment 3188723

na ile escrow aliweka mfukoni 6billion kodi za watanzania, wenzie walirudisha yeye na chenge waligoma. sasaivi watoto wake ndio wanafaidi.View attachment 3188723