Tegeta Escrow: TANESCO yashindwa kesi dhidi ya IPTL. Yaamriwa kulipa zaidi ya Sh. Bilioni 320!


mkuu sasa nipo upande wako, mkuu akisimama jukwaani atasema kwa msisitizo wa kisukuma

""TANESCO haitalipa deni hili kwa fedha za umma!""
 
Kwani Tane

Tanesco isipolipa hakuna shida. IPTL hawana uwezo wa kucheza na dola. Watafanya nini? Hakuna kitu. Dawa ni kutolipa tuone watakachofanya hao IPTL.
wabongo wazito mno kuelewa.
iptl ilishakufa siku nyingi,hakuna iptl hapa duniani,
 
Hela za mboga zimeishakuwa mbolea siku nyingi.
Za umma au si za umma. Jibu limepatikana!
Leo nilimuona yule mama maeneo ya Ubaloz wa Marekani nikaikumbuka ishu ya Tegeta eskro mara mchana nakuta stori hizo hapa jf
 
Kwani Tane

Tanesco isipolipa hakuna shida. IPTL hawana uwezo wa kucheza na dola. Watafanya nini? Hakuna kitu. Dawa ni kutolipa tuone watakachofanya hao IPTL.
Hizo pesa hawalipwe IPTL ni Standard and Chartered Bank, Hong Kong. Kuna watu wanadai kuwa zile za Escrow ndiyo zilitakiwa zilihesabiwa hili deni ila wsjanja wakaziwahi!!

Pesa ya Umma ikiliwa kumbe Inauma!!!
 
Kwa nn watu hatuna uzalendo kazi kuombea mabaya tu serikali why,inawezekana kabisa nyie mnaoombea mabaya hata familia zenu huwa mwaziombea mabaya iweni na uzalendo

Anayeombea mabaya Serikali na anayetenda mabaya ndani ya serikali nani Ni mbaya zaidi?
 

KAZI HII SIYO YA RAIS PEKE YAKE NI YA SISI SOTE. RAIS PEKE YAKE HAWEZI KUPAMBANA NA HAWA WEZI WALIOACHIWA MUDA MREFU BILA YA KUSHUGHULIKIWA. ATAWEZAJE KUTEKELEZA KAZI HII NGUMU KUPAMBANA NA WATU WENYE PESA NYINGI AMBAO WANAWEZA HATA KUWALIPA MAWAKILI WA SERIKALI, NA HUKU ANAJENGEWA UKUTA? RAIS NI BINIADAM KAMA SISI SIO SUPPER HUMAN. WATANZANIA TUKISIMAMA KWA PAMOJA HAWA WENYE PESA HAWEZI KUTUNUNUA SISI WOTE. RAIS ASICHAGUE NANI WA KUMUTUMBUA WOTE WALIO NA MAKOSA YA KUHUJUMU UCHUMI WOTE WAJIELEZE NA MALI ZAO ZISHIKWE.
 
Sio haina mamlaka bali wanaangalia ni nani yupo nyuma ya fulani.
 
Hizo pesa hawalipwe IPTL ni Standard and Chartered Bank, Hong Kong. Kuna watu wanadai kuwa zile za Escrow ndiyo zilitakiwa zilihesabiwa hili deni ila wsjanja wakaziwahi!!

Pesa ya Umma ikiliwa kumbe Inauma!!!
Hivi Mkuu wale wakina Shose Sinare na Sioi si wameshtakiwa kwa issue hii,na kama ni kweli ile kesi yao inayoendelea hivi sasa uhalali wake upo wapi?
 
Magufuli sidhani kama atakubali kulipa hili deni, kuna hatari yakafufuka mengi zaidi kwenye hili....

Magufuli ni msikivu tujitahidi kujenga hoja kwa maslahi ya kuisaidia nchi yetu.

Ni muda muafaka wa kufufua makaburi.!
 
Kwani Tane

Tanesco isipolipa hakuna shida. IPTL hawana uwezo wa kucheza na dola. Watafanya nini? Hakuna kitu. Dawa ni kutolipa tuone watakachofanya hao IPTL.
Ndio naana tunaingizwa mkenge kila siku , wewe inadhani ni rahis hivyo kama unavyodhan
 
Mliambiwa hii kesi Tanesco haiwezi shinda mkaleta siasa zenu. Tanesco toka lini ilikuwa na faida toka ianzishwe? Mliambiwa Tanesco haina pesa kwenye Escrow hizo ni za Iptl mkaleta domodomo kaya sasa mnageuka. Fankuuuuro
 
Zile pesa si za uma... Ngoja sasa tutakavyolipa kwa bei za unit za umeme! maanina zetu walahi
 

Mkuu sio Israel peke Yao ambao hawakulipa madeni.Nchi nyingi tu za America ya kusini Na ya kati Brazil,Argentina,Equdor pamoja Na Mexico ambazo IMF walikuwa wanadai.
Israel wana lindwa Na USA hawakupata Tabu ya uchumi Ila hizo zingine maendeleo yalikuwa ZERO mpaka mapinduzi yakatokea Ktk hizo nchi.Hatuwezi kuwa wababe Na pesa tulizo kopa.
 

Nadhani Wezi tunao humu humu Tanzania, sidhani Kama Ni Wazungu
 
"The actual face value of the debt was $101.7 million, according to available evidence. IPTL borrowed over $100 million in 1998 from a consortium of Malaysian banks in order to finance construction of its 100-megawatt Tegeta power generating plant.
Under that transaction, SCB-HK was assigned a number of contracts, including the 1997 Security Deed, the Implementation Agreement and the Guarantee Agreement concluded between IPTL and the Tanzanian government. The available details show that SCB-HK also became the Security Agent under the Share Pledge Agreement and the Shareholder Support Deed.

Ukiangalia hapo kwa makini utagundua kuwa SCB-HK ili sign mkataba kuwa guarantor kati IPTL na serikali ( Tanesco), leo wakati wa PAP anainunua IPTL inakuaje serikali inashindwa kumshirikisha SCB-HK? serikali inajitia ukipofu wa kutoitambua SCB-HK kwa sababu za wizi na uharaka wa kupiga pesa.

Part of the agreement said:“As Security Agent, SCB HK holds all of IPTL’s ‘right, title and interest in and to the Assigned Contracts, including all moneys which may at any time be or become payable to the Borrower.'"-----Hapa pia wanaeleza kuwa baada ya IPTL kushindwa kila kitu, ina maana haki za umiliki wa kila kitu hata malipo yatakayo fanyika kwenda kwa IPTL kutoka pande yeyote ile itakuwa ya SCB-HK , malipo yote ta Tanesco/serikali au manunuzi yeyote ya PAP lazima yaafikiwe na yakubaliwe na scb-HK, huu ndo mkataba ambao SCB-HK ili sign na IPTL na serikali, utashangaa serikali wanakuambia ohh ununuzi wa PAP na IPTL sisi hatujali, na hatuingilii, sauti hizo ni njama za kupiga pesa tu, tumegushi case mahakamani Tanzania, tukaja na hukumu za ajabu za kiwizi tukalazimisha Tanesco walipe pesa PAP na huku tunajua nani alitakiwa alipe pesa, kwa kweli ukiangalia hayo maelezo hapo juu VIPI & PAP ni matapeli, lakini huu utapeli hawajafanya peke yao, hii kitu iliandaliwa kwa umakini mzuri, haoa hakuna cha kuficha ni wizi tu ndo utatumaliza.
 
Baada ya kujua ishu ya IPTL mwanzoni mwa miaka ya 90 , Mwalimu Nyerere alisema, kama ushirikiano wa nchi za south South uko hivi then bora ukoloni.

( IPTL ni kampuni ya Malaysia ambayo nayo ni member wa nchi za South South

SIYO MAKOSA YA NCHI ZA SOUTH, NI VIONGOZI WETU. KILA CONTRACT IN DEAL NDANI YAKE, MAWAKILI WANAPIGA DEAL WAPATE MKATO WAO. TANZANIA YA KIKWETE ILIKUWA IMEOZA.
 
Hakuna kuwalipa hao mafisadi la sivyo wakamatwe wote waliousaini huo mkataba wa kifisadi na kuisababishia nchi hasara si wote wapo na wanafahamika?
Mwambie Mungu wenu alihaidi kuwalinda wazeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…