Luharamula
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 495
- 333
Hakuna kuwalipa hao mafisadi la sivyo wakamatwe wote waliousaini huo mkataba wa kifisadi na kuisababishia nchi hasara si wote wapo na wanafahamika?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumia akili hata kidogo basiHongera IPTL acha kodi yangu ilipe deni la tanesco.
Nangoja pia kulipa deni la migodi mikubwa ambayo wananchi tumeambiwa tuchukue michanga inayopelekwa nje ya nchi.
Hao iptl sijui nani, wakileta za kuleta tunapanda miti tu.Hapa ndio tutajua kama zilikuwa za umma au la
The manner which Zile fedha zilitapanywa baada tu ya kugawiwa kwa huyo mtu anayejiita PAP inathibitisha kuwa ule ulikuwa utapeli uliofanywa na wabongo wenyewe. Kuna watu walikuwa eakisema eti mzungu (Yaani standard chartered) kkatapeliwa. Sasa tujifunze kuwa kutapeliana ni msamiati wa Kibongo. Hiyo fedha lazima ilipwe kwa Mwenye nayo. Hatimaye kina Ruge na wanasiasa wa Tanzania waligawana fedha za mlipa kodi wa Tanzania.Mwache Profesa wetu. Yeye aliletewa mwekezaji na wanasheria wakamthibitishia kuwa sheria zote zimefuatwa. Jaji akasema pesa zilipwe na zikalipwa kwa matapeli, majaji, mawaziri, wabunge na hata maaskofu. Mamlaka za juu zikasema pesa ni za wenyewe na wenyewe siyo TANESCO. Nina hakika profesa hakupewa hata za chai acha za mboga! Hapa tunataka kuona mamlaka mpya zitaita beleshi (spade) ni beleshi au ni kijiko kikubwa!!!!!!!!
Walipwe pesa zao za ugali sababu awali tulishawapa za mboga.
Hivi wewe unajua sheria na mikataba ya kimataifa kweli,Serikali isipolipa Mali zake zilizopo nje zitakamatwa na kulipa hilo deni.Kwani Tane
Tanesco isipolipa hakuna shida. IPTL hawana uwezo wa kucheza na dola. Watafanya nini? Hakuna kitu. Dawa ni kutolipa tuone watakachofanya hao IPTL.
iptl haipo kuna PAP na wanaendelea kuzalisha umeme na wanalipwa kama kawa.Kwani Tane
Tanesco isipolipa hakuna shida. IPTL hawana uwezo wa kucheza na dola. Watafanya nini? Hakuna kitu. Dawa ni kutolipa tuone watakachofanya hao IPTL.
Mkuu Jile79,laiti ungekutana na huyu Mzee wa Wapigwe tu na akakuelezea mambo kadhaa,utajuta kuzaliwa Tanzania.Namuona Mheshiwa "wapigwe tu" kwa mbaaalii........AKITABASAMU BAADA YA KUTUMWA NA CCM NA KUFANIKIWA KUWADANGANYA WATZ ILI WAGAWANE PESA NA BAADAYE WATZ HAOHAO WABEBESHWE MZIGO WA KULIPA.....
Tanzania Shamba la bibi kizee
6. Kutoongeza mshahara kabisaTZ ina vyanzo vingi vya mapato tunaweza lipa tena kwa mkupuo kama tulivyonunua ndege:
1. Kuongeza malipo ya mikopo ya wanachuo.
2. kufuta fao la kujitoa
3. Kufuta kiinua mgongo kwa wastaafu.
4. Kuongeza makato kwenye miamala ya benki
5. Kuongeza makato kwenye simu
Hakuna kuwalipa hao mafisadi la sivyo wakamatwe wote waliousaini huo mkataba wa kifisadi na kuisababishia nchi hasara si wote wapo na wanafahamika?
miaka ya 70 iran ilikuwa na mkataba na israel kuuziana mafuta,Hivi wewe unajua sheria na mikataba ya kimataifa kweli,Serikali isipolipa Mali zake zilizopo nje zitakamatwa na kulipa hilo deni.