Tegeta Escrow: TANESCO yashindwa kesi dhidi ya IPTL. Yaamriwa kulipa zaidi ya Sh. Bilioni 320!

Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) limeshindwa kwenye kesi yake na IPTL -Independent Power Tanzania Limited.

Hukumu hiyo imefikiwa mwisho wa wiki iliyopita ambapo World Bank tribunal (international centre for settlement of investment disputes ICSID imeamuru TANESCO kuilipa Standard Chartered Bank Hong Kong (SCB HK) kiasi cha dola za kimarekani milioni 148.40 pamoja na tozo riba.

SCB HK ndio walionunua mkopo wa IPTL kutoka bank ya Malaysia Danaharta kwa gharama ya dola za kimarekani milioni 76.1

Kwa habari zaidi soma the Guardian la leo:

Mhuuuuu……!!!
Mtalipa zile mlizokopa
 
Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) limeshindwa kwenye kesi yake IPTL -Independent Power Tanzania Limited.

Hukumu hiyo imefikiwa mwisho wa wiki iliyopita ambapo World Bank tribunal (international centre for settlement of investment disputes.

ICSID imeamuru TANESCO kuilipa Standard Chartered Bank Hong Kong (SCB HK) kiasi cha dola za kimarekani milioni 148.40 pamoja na tozo riba.

SCB HK ndio walionunua mkopo wa IPTL kutoka bank ya Malaysia Danaharta kwa gharama ya dola za kimarekani milioni 76.1

Kwa habari zaidi soma the Guardian la leo:

My take.
Muda si mrefu tutasikia Tanzania yashindwa kesi na DP world yatakiwa kulipa trillioni 15.

Njia mpya iliyobuniwa na wajibu ndani ya serikali kuchota kodi za walala hoi, unasaini mkataba wa kijinga ambao ni kichaa tu anayeweza kuuvumilia alafu ukiulizwa unasema tumeshindwa kesi tulipeni tu.
 
Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) limeshindwa kwenye kesi yake na IPTL -Independent Power Tanzania Limited.

Hukumu hiyo imefikiwa mwisho wa wiki iliyopita ambapo World Bank tribunal (international centre for settlement of investment disputes ICSID imeamuru TANESCO kuilipa Standard Chartered Bank Hong Kong (SCB HK) kiasi cha dola za kimarekani milioni 148.40 pamoja na tozo riba.

SCB HK ndio walionunua mkopo wa IPTL kutoka bank ya Malaysia Danaharta kwa gharama ya dola za kimarekani milioni 76.1

Kwa habari zaidi soma the Guardian la leo:

Mhuuuuu……!!!
DP world ni janga jingine lina andaliwa
 
Sasa hivi ni mwendo wa mafisadi na madalali wa kimataifa kuipiga Tanzania kama shamba la bibi kwa kufufua kesi za nyuma za kifisadi na kuchukua udhaifu wa viongizi vipofu na wanasheria wala rushwa kuipiga nchi!
Fisadi gani au beberu yupi anakupiga?Kama hauna akili ndiyo kijijini kwenu walikuambia anayekuzidi akili ni fisadi na beberu?Maraboook kabisa!
 
Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) limeshindwa kwenye kesi yake IPTL -Independent Power Tanzania Limited.

Hukumu hiyo imefikiwa mwisho wa wiki iliyopita ambapo World Bank tribunal (international centre for settlement of investment disputes
ICSID imeamuru TANESCO kuilipa Standard Chartered Bank Hong Kong (SCB HK) kiasi cha dola za kimarekani milioni 148.40 pamoja na tozo riba.

SCB HK ndio walionunua mkopo wa IPTL kutoka bank ya Malaysia Danaharta kwa gharama ya dola za kimarekani milioni 76.1

‐---------------------------------------'

Yaani sasa hivi ni mwendo wa mafisadi na madalali wa kimataifa kuipiga nchi wakishirikiana na viongozi vipofu, wala rushwa, na wanasheria uchwara/wala rushwa! Sijui tunaekekea wapi?

Kwa habari zaidi soma the Guardian la leo:
 
Mzee baba JPM aliwaambiaga wasomi na wanasheria inakuwaje sisi hatushindi hizi kesi, kwa nini wanasheria wetu hawapambani kama hao wakoloni ili na sisi tushinde?.

Sikumuelewa kwa nini ila naanza kuelewa kwa nini?.

But nje ya hapo kuna clip hii hapa juu ya mikataba inayosababisha nchi kushindwa kesi na kuliwa 👇🏾.

Duuuuuuh na bado kuna kesi zingine bwana Tundu Lisu alikua ana zitaja kwenye mkutano wake mmoja juzi kati hapo, lakini kingine kina sababisha tunashindwa kesi tafuta video ya pro wasoro akiwa uzunguni kwenye kesi tulio shindwa tena juzi juzi tuu hapo, utagundua wataalamu wetu wa Sheria wanao tumwa kule kuna sehemu hawatoshi
 
Bomu la mchongo lililosukwa kwa ustadi wa hali ya juu....

Hatimae limelipuka ..... Ni neema kwa genge fulani.....

Maana wanasaini mikataba ya michongo...... Ili IVUNJWE kwa makusudi Ili wapate mgao wao....

So sad... Hii nchi hii!?!....

Wa dp world ndio kabisaa tutauzwa kama nchi na wake zetu.... Wote!
 
Mzee baba JPM aliwaambiaga wasomi na wanasheria inakuwaje sisi hatushindi hizi kesi, kwa nini wanasheria wetu hawapambani kama hao wakoloni ili na sisi tushinde?.

Sikumuelewa kwa nini ila naanza kuelewa kwa nini?.

But nje ya hapo kuna clip hii hapa juu ya mikataba inayosababisha nchi kushindwa kesi na kuliwa [emoji1484].

View attachment 2719120

Back
Top Bottom