Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 10,644
- 32,375
Hii nchi imelaaniwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtalipa zile mlizokopaShirika la umeme Tanzania (TANESCO) limeshindwa kwenye kesi yake na IPTL -Independent Power Tanzania Limited.
Hukumu hiyo imefikiwa mwisho wa wiki iliyopita ambapo World Bank tribunal (international centre for settlement of investment disputes ICSID imeamuru TANESCO kuilipa Standard Chartered Bank Hong Kong (SCB HK) kiasi cha dola za kimarekani milioni 148.40 pamoja na tozo riba.
SCB HK ndio walionunua mkopo wa IPTL kutoka bank ya Malaysia Danaharta kwa gharama ya dola za kimarekani milioni 76.1
Kwa habari zaidi soma the Guardian la leo:
Mhuuuuu……!!!
DP world ni janga jingine lina andaliwaShirika la umeme Tanzania (TANESCO) limeshindwa kwenye kesi yake na IPTL -Independent Power Tanzania Limited.
Hukumu hiyo imefikiwa mwisho wa wiki iliyopita ambapo World Bank tribunal (international centre for settlement of investment disputes ICSID imeamuru TANESCO kuilipa Standard Chartered Bank Hong Kong (SCB HK) kiasi cha dola za kimarekani milioni 148.40 pamoja na tozo riba.
SCB HK ndio walionunua mkopo wa IPTL kutoka bank ya Malaysia Danaharta kwa gharama ya dola za kimarekani milioni 76.1
Kwa habari zaidi soma the Guardian la leo:
Mhuuuuu……!!!
Lazima tuliwe mpaka ndondocha tuamke, na tunaliwa na ndugu zetu humu humu... maajabu ya Musa
Fisadi gani au beberu yupi anakupiga?Kama hauna akili ndiyo kijijini kwenu walikuambia anayekuzidi akili ni fisadi na beberu?Maraboook kabisa!Sasa hivi ni mwendo wa mafisadi na madalali wa kimataifa kuipiga Tanzania kama shamba la bibi kwa kufufua kesi za nyuma za kifisadi na kuchukua udhaifu wa viongizi vipofu na wanasheria wala rushwa kuipiga nchi!
Is "cursed" for real!This country is crused
Cursed? 😳😳😳This country is crused
Mzee baba JPM aliwaambiaga wasomi na wanasheria inakuwaje sisi hatushindi hizi kesi, kwa nini wanasheria wetu hawapambani kama hao wakoloni ili na sisi tushinde?.
Sikumuelewa kwa nini ila naanza kuelewa kwa nini?.
But nje ya hapo kuna clip hii hapa juu ya mikataba inayosababisha nchi kushindwa kesi na kuliwa [emoji1484].
View attachment 2719120