Tegeta hakuna umeme wala maji, angalau mngetuachia kimojawapo na hili joto la Dar!

Kusanyikeni viwanja vya TANGANYIKA P. kufanya maombi mvua zinyeshe ili mpata maji via dawasco na uzalishaji wa umeme uongezeke

ivi mbunge wa jimbo lenu mbona kimya sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…