Tegeta hakuna umeme wala maji, angalau mngetuachia kimojawapo na hili joto la Dar!

Tegeta hakuna umeme wala maji, angalau mngetuachia kimojawapo na hili joto la Dar!

Mama anaupiga mwingi,vumilieni ndio mgao umeanza,maendeleo hayana chama bwashee
Watu ambao hamjui hio ndio political science, unatengeneza tatizo then unalisolve we mwenyewe,kwa mafala wanaingia kingi na credit wanakupa then unakuwa umecheza kama Pele, hio ndio Tz
 
Nyinyi watu mnasahau sana, ile bodi ya TANESCO haikuteuliwa kifala.

Tatizo linatengnezwa ili tupate sababu ya kutengeneza dili.

Tuko strategic kweli kweli zile safari za UAE sijui Saudia zitatupa jibu soon.

Usiponufaika na nafasi ya uongozi katika nchi hii ujue una element za ufala.
Unanipa hasira sana, Mbona Chif Hagaya katulia kama hakuna kitu hivi
 
hii inaotwa panga uzazi ya jijini dar. umeme hakuna maji hakuna.mimi nalala chini kwenye tailiz mama kitandani.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom