kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,695
- 20,633
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukicheka na nyani utavuna mabua... mabwawa yanakauka ghafla, hata mito nayoChonde chonde Dawasa na Tanesco tufanyieni wepesi wateja wenu kwani hali ni tete si umeme wala maji.
Wanaishi wachagga!
CCM Wanapata Kila kitu na kazi inaendelea.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwani yeye nani asikatiwe?
2Hivi wataalamu wa CCM wanasema jua limeahuka sentimita ngapi upande wa Tanzania?
Mbona analalamika? Kama mwenyekiti wa vijana Chauma Taifa inanishangaza sanaCCM Wanapata Kila kitu na kazi inaendelea.
InatumiaPump yenu haitumii umeme?
Subiri siku umeme ukatike masaa ya kutosha utakosa vyote.Inatumia
Haukukatika umeme
Najiuliza kwani kipindi cha mwendazake hakukua na kipindi cha kiangazi mbona mgao tulikua tumeshausahauChonde chonde Dawasa na Tanesco tufanyieni wepesi wateja wenu kwani hali ni tete si umeme wala maji.