Tego la usinga; uchawi uliotoweka

Tego la usinga; uchawi uliotoweka

Laaahaulaaa kama kimebaki kikojoleo tuuu bora kukikata kabisaaaaa
Kuongea ni rahisi kuliko kutenda utabaki na fikra za kusema pengine siku moja mambo yatakuwa poa kwakweli inauma mno
 
Kama anapotosha Unaonaje ukijimovezisha taaratibu kutoka katika huu uzi?
Usingemjibu huyu kiazi na wale viazi wengine wanne ambao kwa pamoja hawajui hata sheria na kanuni za jukwaa
Post yoyote yenye upotoshaji huwa haichukui muda inaondolewa lakini kama napotosha mwambie basi achagize kwa hoja au aweke huo ambao sio upotoshaji. ..utashuhudia mashudu tupu[emoji23] [emoji23] [emoji23] they are all silly creatures with crippled minds ... cowardly hiding themselves in fake multiple IDS...huwa nikiona replies zao na wanavyodiss kijuha nabaki na kicheko
 
1471412167716.jpg
 
Duh pale kati noma! Mtu yupo dhadhi apalinde kwa uchawi hata mtu akifa poa tu! Ila je damu ya yule aliekufa itakua juu ya nani? Yake mwenyewe au ya mke au ya yule mume aliemuwekea mkewe tego! Ooh japo mshahara wa dhambi ni mauti!
 
MziziMkavu hebu njoo uelimishe huyu @ mshana jr anapenda kujidai kuwa anaju sana mambo ya giza na kupotosha umma
Mkuu.@Mshana jr hapotoshi watu anajaribu watu kuwa amsha kuwa uchawi upo na ni hatari kwa jamii. Mahali palipo kuwa na uchawi panakuwa hapana maendeleo yoyote kimaisha. Tujihadhari na uchawi na tumuombe Mungu atulinde na wachawi.
 
mkuu kwanza ni aibu mimi kusikia mke wangu ana chukuliwa

yaani hapa tanga kama ni mgeni uliza tu

maana hutopewa warning nikijua tu wewe unakula mke wangu natega usinga wangu na ni lazima uje

usinga una nguvu sana

WARNING KWA WAGENI WA TANGA USINGA UPO TANGA NA UMESHA WATOA WENGI TU

#MKE WA MTU SUMU
 
Back
Top Bottom