[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji27]mkuu kwanza ni aibu mimi kusikia mke wangu ana chukuliwa
yaani hapa tanga kama ni mgeni uliza tu
maana hutopewa warning nikijua tu wewe unakula mke wangu natega usinga wangu na ni lazima uje
usinga una nguvu sana
WARNING KWA WAGENI WA TANGA USINGA UPO TANGA NA UMESHA WATOA WENGI TU
#MKE WA MTU SUMU
Bro naomba namba zako na shida binafsi zangu0744896401Udanganyifu katika mahusiano ni kitu kikongwe na kinachopigwa vita duniani kote watu kwa maelfu wamepoteza maisha kutokana na ishu za Udanganyifu wivu na kufumaniwa au kufumaniana
Kwa wasambaa kulikuwa na tego moja maarufu sana TEGO LA USINGA tego hili ni baya na lenye nguvu sana ambalo lilitegwa kwenye mapaja ya mwanamke kwa kujulishwa au kwa kutojulishwa
Test yake kama tego linafanya kazi mwanamke angewekewa kipande cha chuma au kisu au panga na kuambiwa akiruke, ambapo kitu hicho kingekatika vipande viwili , kwahiyo hapa mwanamke hana ujanja na anajua fika kinachoendelea
Kwa wale wanawake ambao hawajulishwi ila wana mashaka basi huchukua panga au kitu chochote cha chuma na kukiruka!kikikatika tu anajua hali halisi anatulia. Bahati mbaya sana kuna baadhi ya wanaume huwa hawawaambii wake zao kile walichokifanya na wanawake nao wengine huwa hawana machale na hivyo kusababisha maafa.
Mwanamke mwenye tego la usinga akiingiliwa na mwanaume mwingine yule mwanaume hupigwa na kitu kama shoti na baada ya hapo huanza kuumwa tumbo ambapo hawezi kumaliza masaa sita hufariki huku uume ukiwa umesimama ndii
Usinga si kitu chema kwakuwa hauna dawa na mwanamke hatakiwi kuwa na mtoto mdogo wa kiume ambaye atambeba mara kwa mara
Huu ndio usinga tego baya kabisa enzi hizo usambaani...!
Bahati mbaya wataalam wake wamekufa na ujuzi huo bila kuurithisha kwa yeyote
Nini kimefichwa hapo?
Hahaaaaa kudadadekii...na wazungu wana tego??? Au ali-overdose viagra.Mpingo uliogoma kusinzia hata baada ya jamaa kurest in pieces
Unahitaji hilo tego la usinga?Bro naomba namba zako na shida binafsi zangu0744896401
Loh.., nimecheka mpaka basi!!Wanaume bana, we unagonga wanawake kama kumi huko nje, we kuonjewa tu na mtu mmoja unaua...... Nanyie tutaanza kuwaua hata kwa sumu ya panya!!!
OkNjoo pm tafadhali
Tayari ushaumizwa!?Mi nataka hii kitu jamani , mwenye kujua ani pm
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12]Wanaume bana, we unagonga wanawake kama kumi huko nje, we kuonjewa tu na mtu mmoja unaua...... Nanyie tutaanza kuwaua hata kwa sumu ya panya!!!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]Tayari ushaumizwa!?
hii kitu ya Mpingo kusimama ipo mshana jr
alikuwapo dogo mmoja alikufa Mwaka wa Jana alikuwa na vipesa vya kudunduliza akawa MTU wa mademu hasa wake za watu aliingia kwa Mke wa Jamaa mwenyewe kashtukia akumuonya jambo ambalo Mimi siwezi nikijua unakamua my wife wangu hata kama itapita muda gani lazima nikuondoe Sasa jamaa akamuonyoa dogo akajifanya kujua kapewa hiyo kitu nilikuwa siijui jina lake dogo Mnara ulikuwa HEWANI bila kushuka...kalazwa Muhimbili 2wks wapi kapelekwa Tanga hata Mwezi haukufika hivi naongea ameshakuwa VUMBI.....amezima Kitu kikiwa juu..
Hataree
Mi nataka hii kitu jamani , mwenye kujua ani pm
Tayari ushaumizwa!?
hii kitu ya Mpingo kusimama ipo mshana jr
alikuwapo dogo mmoja alikufa Mwaka wa Jana alikuwa na vipesa vya kudunduliza akawa MTU wa mademu hasa wake za watu aliingia kwa Mke wa Jamaa mwenyewe kashtukia akumuonya jambo ambalo Mimi siwezi nikijua unakamua my wife wangu hata kama itapita muda gani lazima nikuondoe Sasa jamaa akamuonyoa dogo akajifanya kujua kapewa hiyo kitu nilikuwa siijui jina lake dogo Mnara ulikuwa HEWANI bila kushuka...kalazwa Muhimbili 2wks wapi kapelekwa Tanga hata Mwezi haukufika hivi naongea ameshakuwa VUMBI.....amezima Kitu kikiwa juu..
Hataree
bwUdanganyifu katika mahusiano ni kitu kikongwe na kinachopigwa vita duniani kote watu kwa maelfu wamepoteza maisha kutokana na ishu za Udanganyifu wivu na kufumaniwa au kufumaniana