Hi habari ilimkera sana msafisha vyoo kule Tela Aviv Echolima1Wanaukumbi.
⭕️Huko Tehran, Wairani milioni 1.2 waliandamana kuiunga mkono serikali yao
Kwa upande mwingine, maandamano makubwa zaidi ya kupinga serikali hayakuwahi kukua hadi zaidi ya makumi ya maelfu.
Kama kawaida, vyombo vya habari vya Magharibi havitakuonyesha hizi video kwa sababu inaharibu simulizi lao la mabadiliko ya utawala.
View: https://x.com/me_observer_/status/2010717099342418144?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
😀😀😀Hi habari ilimkera sana msafisha vyoo kule Tela Aviv Echolima1
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Araghchi:Kwa nini walizima internet
Araghchi: kufungwa kwa intaneti kulianza siku ambayo shughuli za kigaidi zilianzaKwa nini walizima internet
Huko marekani ICE wanaua sana watu ila hakuna mtu anasema trump ni dikteta au gaidi!! Unafiki tuIranian Foreign Minister Araghchi:
Trump calls the killing of a girl in his own country “police self-defense,” but when an armed man kills an Iranian officersuddenly, he’s a “protester”!
We have concrete evidence of direct U.S. and Israeli involvement in the terrorist war against Iran.
This is not about human rights… it’s about hypocrisy and playing with other nations’ destinies.
Huko marekani ICE wanaua sana watu ila hakuna mtu anasema trump ni dikteta au gaidi!! Unafiki tu