Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 57,035
- 46,479
Safi tuMPYA:
🇮🇷 Shirika la ujasusi la Iran linasema limefanikiwa kupata viongozi wa ghasia kutokana na raia waliowakabidhi.
Shirika la ujasusi la IRGC linatangaza kuwa limepokea simu zaidi ya 400,000 kutoka kwa Wairani zikiripoti harakati na watu binafsi wanaotiliwa shaka, jambo ambalo limesababisha ongezeko kubwa la kuwatambua viongozi wa ghasia wanaoungwa mkono na wageni.
Usinipangie Cha kufanya sawaaaNenda kafungue uzi jukwaa la dini hapa siyo mahala pake.
Sijakulazimisha kujibu swali langu wewe KIAZIWapi nimekupangia? Unaleta mambo ya dini hili siyo JUkwaa la dini kama unataka mijadala ya dini nenda jukwa la dini.
"Mnajitangaza kimkakati sana" maandamano yalionyesha waandamanaji walichoma misikiti, viazi waka dai iran ni mashia na makafiki, Leo hii inaonekana zile ni propaganda za magharibi , ,nikauliza kwa hiyo mashia Sio makafiri tena ?Angali hili shoga yaani unakuja kwenye uzi unaleta ushoga wako hutaki watu wa kujibu😀
Unaletea habari za kishoga unauliza mimi habari mashia mimi hiyo siyo mijadala yangu ndiyo maana nikakuambia habari za dini hapa siyo jukwaa lake hapa tunaangazia maaandamano ya Wairan milioni 12."Mnajitangaza kimkakati sana" maandamano yalionyesha waandamanaji walichoma misikiti, viazi waka dai iran ni mashia na makafiki, Leo hii inaonekana zile ni propaganda za magharibi , ,nikauliza kwa hiyo mashia Sio makafiri tena ?
Wacha ubishi usio na akili!Hizo ni propaganda tu za utawala wa kiimla wa Iran, ukweli unabaki palepale kwamba Wairan wengi wamechoka vibaya na utawala huo unaojiita wa kidini huku kila Ijumaa ikiua raia wake kama ng'ombe. Bure kabisa.
Habari za kishoga ndio zipoje ?Unaletea habari za kishoga unauliza mimi habari mashia mimi hiyo siyo mijadala yangu ndiyo maana nikakuambia habari za dini hapa siyo jukwaa lake hapa tunaangazia maaandamano ya Wairan milioni 12.
Chura kiziwi mwenywe akiamua kukusanya watu milioni 2 kumuunga mkono mbona fasta tuHahahah kuna mapunguani humu yalikuja na video zao habari zao za maandamano ya Iran. Kuwa Wairani hawaitaki serikali yao😀
Mamluki wote wameishakamatwa toka lini waandamanaji wanaandamana na bunduki wanauwa askari na kulipua miondombinu.
Hawa wanasubiri kitanzi.
Alivyo mjinga atadai umeleta mambo ya dinidola kandamizi ya kiislamu ya irani ikianguka maimbi yake zatafika hadi dhalimu wa tanzagiza, ndiyo utakuwa mwanzo wa mwisho wa islamic regime in tanzagiza ...
Emmanuel Nchimbi muislam?dola kandamizi ya kiislamu ya irani ikianguka mawimbi yake yatafika hadi dhalimu tanzagiza na ndiyo utakuwa mwanzo wa mwisho wa islamic regime in tanzagiza ...
Emmanuel Nchimbi muislam? Baba levo muislam? Paul Makonda muislam? Wambura muislam? Mwigulu Nchemba muislam? Hawa wagalatia walihusika kupigania viti oktoba 29 na kuua watanzania wenzetu. Wewe unaleta ufala wa dini.
Changia unachotakaHabari za kishoga ndio zipoje ? Swali sijakuuliza wewe , japo lipo ndani ya Uzi umeuleta wewe, huu Uzi Sasa ni mali yetu sisi wadau na tuna uhuru wa kuchangia tunavyotaka