min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Mimi naunga sana mkono serikali ya Iran kwa kunikomeshea Israel.Changia unachotaka
Sasa wewe swali dogo tu ambalo ungeweza kulipotezea unaleta mihemko ya Kijinga , una akili wewe kweli?
Mimi naunga sana mkono serikali ya Iran kwa kunikomeshea Israel.Changia unachotaka
Wewe punguani si nimeishakuambia changia unachotaka bado unanifuata au unatafuta basha kwa nguvu.Mimi naunga sana mkono serikali ya Iran kwa kunikomeshea Israel.
Sasa wewe swali dogo tu ambalo ungeweza kulipotezea unaleta mihemko ya Kijinga , una akili wewe kweli?
Hapo nimechangia unachotaka wewe?Wewe punguani si nimeishakuambia changia unachotaka bado unanifuata au unatafuta basha kwa nguvu.
Huna jibu,udini ndio akili ilipoishiaNenda kafungue uzi jukwaa la dini hapa siyo mahala pake.
Waliofanya huu ugaidi Iran lazima wawanyonge, Trump na Netanyahu toka lini wakawa na uchungu na raia wa Iran.
View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/2011440697069494662?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Haya ni maandamano wewe bwege?Maandamano tuu ndio mnyonge watu,kama lile shetani lako Samia akili zenu sawa tuu
Wanajuana hao tuwatizame kwa mbali tu mkuu.Kila siku kunazidi kuchangamka huko duniani!, hebu tuone the end ya hizi movie!.
Una umri gani?🤣🤣unajua jambo ni kwamba wanaendelea kudhoofika kila siku kwa kujiendesha bila misingi..
Ghasia haziijanza leo hapo ko kujisifia kwamba wamemweza Trump ni wanajifariji tu mana kesho utasikia wapo barabarani kupinga mauwaji ya watoto wa kike kweny mikono ya police wa maadili.