Tehran, Wairani milioni 1.2 waliandamana kuiunga mkono serikali yao

Safi tu
 
Usinipangie Cha kufanya sawaaa
Wapi nimekupangia? Unaleta mambo ya dini hili siyo JUkwaa la dini kama unataka mijadala ya dini nenda jukwa la dini.
 
Wapi nimekupangia? Unaleta mambo ya dini hili siyo JUkwaa la dini kama unataka mijadala ya dini nenda jukwa la dini.
Sijakulazimisha kujibu swali langu wewe KIAZI
 
Sijakulazimisha kujibu swali langu wewe KIAZI
Angali hili shoga yaani unakuja kwenye uzi unaleta ushoga wako hutaki watu wa kujibu😀
 
Angali hili shoga yaani unakuja kwenye uzi unaleta ushoga wako hutaki watu wa kujibu😀
"Mnajitangaza kimkakati sana" maandamano yalionyesha waandamanaji walichoma misikiti, viazi waka dai iran ni mashia na makafiki, Leo hii inaonekana zile ni propaganda za magharibi , ,nikauliza kwa hiyo mashia Sio makafiri tena ?
 
Unaletea habari za kishoga unauliza mimi habari mashia mimi hiyo siyo mijadala yangu ndiyo maana nikakuambia habari za dini hapa siyo jukwaa lake hapa tunaangazia maaandamano ya Wairan milioni 12.
 
Hizo ni propaganda tu za utawala wa kiimla wa Iran, ukweli unabaki palepale kwamba Wairan wengi wamechoka vibaya na utawala huo unaojiita wa kidini huku kila Ijumaa ikiua raia wake kama ng'ombe. Bure kabisa.
Wacha ubishi usio na akili!
Vyombo vikubwa vyote hadi za mabeberu wenu ndio vinatangaza kuwa kuna maandamano ya kuunga mkono serikali.
Kwahiyo wewe unataka kubishana na wamagharibi wenyewe walioripoti hilo!?
DW ni chombo cha Iran?
BBC ni chombo cha Iran?
Waswahili mnakuaga na ubishi wa kipumbavu.
 
Unaletea habari za kishoga unauliza mimi habari mashia mimi hiyo siyo mijadala yangu ndiyo maana nikakuambia habari za dini hapa siyo jukwaa lake hapa tunaangazia maaandamano ya Wairan milioni 12.
Habari za kishoga ndio zipoje ?

Swali sijakuuliza wewe , japo lipo ndani ya Uzi umeuleta wewe, huu Uzi Sasa ni mali yetu sisi wadau na tuna uhuru wa kuchangia tunavyotaka
 
Chura kiziwi mwenywe akiamua kukusanya watu milioni 2 kumuunga mkono mbona fasta tu
 
dola kandamizi ya kiislamu ya irani ikianguka mawimbi yake yatafika hadi dhalimu tanzagiza na ndiyo utakuwa mwanzo wa mwisho wa islamic regime in tanzagiza ...
 
dola kandamizi ya kiislamu ya irani ikianguka maimbi yake zatafika hadi dhalimu wa tanzagiza, ndiyo utakuwa mwanzo wa mwisho wa islamic regime in tanzagiza ...
Alivyo mjinga atadai umeleta mambo ya dini
 
dola kandamizi ya kiislamu ya irani ikianguka mawimbi yake yatafika hadi dhalimu tanzagiza na ndiyo utakuwa mwanzo wa mwisho wa islamic regime in tanzagiza ...
Emmanuel Nchimbi muislam?
Baba levo muislam?
Paul Makonda muislam?
Wambura muislam?
Mwigulu Nchemba muislam?
Hawa wagalatia walihusika kupigania viti oktoba 29 na kuua watanzania wenzetu.
Wewe unaleta ufala wa dini.
 
Emmanuel Nchimbi muislam? Baba levo muislam? Paul Makonda muislam? Wambura muislam? Mwigulu Nchemba muislam? Hawa wagalatia walihusika kupigania viti oktoba 29 na kuua watanzania wenzetu. Wewe unaleta ufala wa dini.
Habari za kishoga ndio zipoje ? Swali sijakuuliza wewe , japo lipo ndani ya Uzi umeuleta wewe, huu Uzi Sasa ni mali yetu sisi wadau na tuna uhuru wa kuchangia tunavyotaka
Changia unachotaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…