Tekashi 6ix9ine ameachiwa huru kutokana na hofu ya Corona Virus

Tekashi 6ix9ine ameachiwa huru kutokana na hofu ya Corona Virus

Scars

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2017
Posts
48,055
Reaction score
116,512
Najua tukio hili wengi hatujalisikia kutokana na corona kuwa trend kiasi cha kuzima habari nyingi ili isikike yenyewe

Mapema ya mwezi april tarehe 2 Msanii wa muziki wa hip hop (trapper) TEKASHI al maarufu kwa jina la 6ix9ine aliachiwa huru ambapo alikua akitumikia kifungo kwa miezi mingi.

Mwanasheria wake ambae amekua akitafuta namna ya kumtoa jamaa kwa muda mrefu lakini kutokana na uzito wa kesi haikua rahisi kuachiwa. Jamaa alikua na kesi mbili "conspiracy to murder" na "armed robbery"

Lakini mwanasheria kaja na hoja ambayo inaonesha kua 6ix9ine ana magonjwa mengi ambayo ni tishio endapo atapata virus vya corona kama "asthma", ambayo yatamuweka kwenye risk kubwa ya kitengo cha kuumwa corona.

Mwanzoni huyo mwanasheria serikali ilimkazia kwa hoja hiyo lakini ghafla baada ya muda wakamruhusu, so jamaa yuko nje uraiani mpaka muda huu. Lakini bado hajawa huru rasmi moja kwa moja nadhani hii ni kama kifungo cha nje kapewa.

Pia kapewa masharti kua akae miezi minne ndani kwake bila kwenda sehemu nyingine yeyote isipokua kukutana na wakili wake au kupata huduma za kitabibu katika hospitali au maduka ya dawa, lakini hii kwake itakua ni bora zaidi kuliko jela.

Japo jamaa kapigwa ban asiende ku record wala kufanya mizunguko kinyume na hizo sehemu mbili alizoruhusiwa, jumanne ya wiki hili Tekashi ali-post kwenye IG kua atakua na interview yake leo ijumaa. Bila shaka atakua live kupitia instagram sidhani kama ni media
6ix9ine-20200508-0002.jpeg
6ix9ine-20200508-0001.jpeg


It's Scars
 
"Tekashi wanna Minaj say Tray way",, Huyu chalii nakubali sana mapini yake kama Fefe na Gumo,ila sijui akajichimbie wapi maana wauni aliowa'snitch hawatamdere2 kindezi iviivi,,Homicide itamhusu
 
"Tekashi wanna Minaj say Tray way",, Huyu chalii nakubali sana mapini yake kama Fefe na Gumo,ila sijui akajichimbie wapi maana wauni aliowa'snitch hawatamdere2 kindezi iviivi,,Homicide itamhusu
Hivi hapa sijafatilia reaction ya mahasimu wale aliowataja nadhani wanamlia buyu tu
 
Huyu dogo kwa sasa ulinzi ndo unahitajika zaidi huko mtaani watamwua,aliwachoma wahuni wengi gang kibao zinamtafuta
 
Mambo yamebadilika sana mkongwe. Huyo kijana jana usiku ameachia wimbo ambao unatishia kuvunja rekodi iliyowekwa na Rap God (Eminem). Hadi Youtube imezidiwa huko.
😂😂😂😂
Ndio hivyo dogo kaja na kasi ya abood
 
Back
Top Bottom