Mzee Wa Kale Kabisa
JF-Expert Member
- Mar 25, 2018
- 2,621
- 4,322
Hawa wasanii wenu wa siku hizi bwana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani..!!..Wakati yuko jela naskia kulikua na conspiracy ya kumuangamiza akiwa humo humo jela
Subiri kwanza awatroll lame rappersRIP tekashi tulikupenda lakini wahuni wamekupenda zaidi.
Lame rappers kama wapi?Subiri kwanza awatroll lame rappers
Kama mm mkuu,najarbu kusoma comments japo niambulie chochote kitu ila nmetoka empty kabxaZaman, Fat Joe, birdman, Kanye West , ja lur, Lilly Wayne etc.... Ila Sasa eti sijui tishekedii yaan hata sijui wanarap / hip-hop ya dunia gani..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo ya mebadilika hatuwezi kuishi zama zile zile ww ndio uko mbali na music ndio maana uelewi embu angalia hata hao watu uliowataja hapo mwengine washastahafu music hii inaonesha jinsi gani upo mbali na hii tasnia 😎Zaman, Fat Joe, birdman, Kanye West , ja lur, Lilly Wayne etc.... Ila Sasa eti sijui tishekedii yaan hata sijui wanarap / hip-hop ya dunia gani..
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mpk Uwoya amemtunuku mbunye sababu ya upayukaji huo huo.Kuna huyu wanamuita young lunya, yani mpaka wimbo unaisha ye anapayuka tu lakini bado kuna watu wanamfagilia
Sawa wa 2000!!Mambo ya mebadilika hatuwezi kuishi zama zile zile ww ndio uko mbali na music ndio maana uelewi embu angalia hata hao watu uliowataja hapo mwengine washastahafu music hii inaonesha jinsi gani upo mbali na hii tasnia [emoji41]
JAmaa kaweka clip you tube imehit 52mil in 24hrNajua tukio hili wengi hatujalisikia kutokana na corona kuwa trend kiasi cha kuzima habari nyingi ili isikike yenyewe
Mapema ya mwezi april tarehe 2 Msanii wa muziki wa hip hop (trapper) TEKASHI al maarufu kwa jina la 6ix9ine aliachiwa huru ambapo alikua akitumikia kifungo kwa miezi mingi.
Mwanasheria wake ambae amekua akitafuta namna ya kumtoa jamaa kwa muda mrefu lakini kutokana na uzito wa kesi haikua rahisi kuachiwa. Jamaa alikua na kesi mbili "conspiracy to murder" na "armed robbery"
Lakini mwanasheria kaja na hoja ambayo inaonesha kua 6ix9ine ana magonjwa mengi ambayo ni tishio endapo atapata virus vya corona kama "asthma", ambayo yatamuweka kwenye risk kubwa ya kitengo cha kuumwa corona.
Mwanzoni huyo mwanasheria serikali ilimkazia kwa hoja hiyo lakini ghafla baada ya muda wakamruhusu, so jamaa yuko nje uraiani mpaka muda huu. Lakini bado hajawa huru rasmi moja kwa moja nadhani hii ni kama kifungo cha nje kapewa.
Pia kapewa masharti kua akae miezi minne ndani kwake bila kwenda sehemu nyingine yeyote isipokua kukutana na wakili wake au kupata huduma za kitabibu katika hospitali au maduka ya dawa, lakini hii kwake itakua ni bora zaidi kuliko jela.
Japo jamaa kapigwa ban asiende ku record wala kufanya mizunguko kinyume na hizo sehemu mbili alizoruhusiwa, jumanne ya wiki hili Tekashi ali-post kwenye IG kua atakua na interview yake leo ijumaa. Bila shaka atakua live kupitia instagram sidhani kama ni media
View attachment 1444109View attachment 1444110
It's Scars
Nadhani watu wengi wapo quarantines imechangiaMzigo uko speed, alipoenda jela walikuwa wanamponda sana kumbe wanampendaView attachment 1444439
Sent using Jamii Forums mobile app
Souldier boy sijawahi kujua kama ni msanii, nilikuja kujua kwenye ile kiki yake na brownHip hop ya huko nilianza kuiona inaenda halijojo toka enzi ya soldier boy... Haka kajamaa kalikua kanaimba ujinga tu mpaka wakongwe kwenye game walikua wanamponda