Tekashi 6ix9ine ameachiwa huru kutokana na hofu ya Corona Virus

Tekashi 6ix9ine ameachiwa huru kutokana na hofu ya Corona Virus

Zaman, Fat Joe, birdman, Kanye West , ja lur, Lilly Wayne etc.... Ila Sasa eti sijui tishekedii yaan hata sijui wanarap / hip-hop ya dunia gani..

Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo ya mebadilika hatuwezi kuishi zama zile zile ww ndio uko mbali na music ndio maana uelewi embu angalia hata hao watu uliowataja hapo mwengine washastahafu music hii inaonesha jinsi gani upo mbali na hii tasnia 😎
 
Tekashi watamuua muda sio mrefu japo ametuachia GOOBA


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Najua tukio hili wengi hatujalisikia kutokana na corona kuwa trend kiasi cha kuzima habari nyingi ili isikike yenyewe

Mapema ya mwezi april tarehe 2 Msanii wa muziki wa hip hop (trapper) TEKASHI al maarufu kwa jina la 6ix9ine aliachiwa huru ambapo alikua akitumikia kifungo kwa miezi mingi.

Mwanasheria wake ambae amekua akitafuta namna ya kumtoa jamaa kwa muda mrefu lakini kutokana na uzito wa kesi haikua rahisi kuachiwa. Jamaa alikua na kesi mbili "conspiracy to murder" na "armed robbery"

Lakini mwanasheria kaja na hoja ambayo inaonesha kua 6ix9ine ana magonjwa mengi ambayo ni tishio endapo atapata virus vya corona kama "asthma", ambayo yatamuweka kwenye risk kubwa ya kitengo cha kuumwa corona.

Mwanzoni huyo mwanasheria serikali ilimkazia kwa hoja hiyo lakini ghafla baada ya muda wakamruhusu, so jamaa yuko nje uraiani mpaka muda huu. Lakini bado hajawa huru rasmi moja kwa moja nadhani hii ni kama kifungo cha nje kapewa.

Pia kapewa masharti kua akae miezi minne ndani kwake bila kwenda sehemu nyingine yeyote isipokua kukutana na wakili wake au kupata huduma za kitabibu katika hospitali au maduka ya dawa, lakini hii kwake itakua ni bora zaidi kuliko jela.

Japo jamaa kapigwa ban asiende ku record wala kufanya mizunguko kinyume na hizo sehemu mbili alizoruhusiwa, jumanne ya wiki hili Tekashi ali-post kwenye IG kua atakua na interview yake leo ijumaa. Bila shaka atakua live kupitia instagram sidhani kama ni media
View attachment 1444109View attachment 1444110

It's Scars
JAmaa kaweka clip you tube imehit 52mil in 24hr
 
  • Thanks
Reactions: amu
Hip hop ya huko nilianza kuiona inaenda halijojo toka enzi ya soldier boy... Haka kajamaa kalikua kanaimba ujinga tu mpaka wakongwe kwenye game walikua wanamponda
Souldier boy sijawahi kujua kama ni msanii, nilikuja kujua kwenye ile kiki yake na brown
 
Back
Top Bottom