Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nafanana nae.Nampenda sana huyu dogo.asee
Mumble rappers everywhere![emoji107]Bro nakupinga,,Mumble rappers ni wale wanaorap kama wananong'ona,,yaani ni ngumu kuskia wanachokiongea had ucheze na Lyrics kama Kodak Black,,ila Migos,6ix9ine,Lil Pump,DaBaby,21 Savage, na mnyama wangu kabisa mwenye Travee Scowise(Travis Scotty) sio Mumble rappers coz wanachoimba unakiskia
Najua tukio hili wengi hatujalisikia kutokana na corona kuwa trend kiasi cha kuzima habari nyingi ili isikike yenyewe
Mapema ya mwezi april tarehe 2 Msanii wa muziki wa hip hop (trapper) TEKASHI al maarufu kwa jina la 6ix9ine aliachiwa huru ambapo alikua akitumikia kifungo kwa miezi mingi.
Mwanasheria wake ambae amekua akitafuta namna ya kumtoa jamaa kwa muda mrefu lakini kutokana na uzito wa kesi haikua rahisi kuachiwa. Jamaa alikua na kesi mbili "conspiracy to murder" na "armed robbery"
Lakini mwanasheria kaja na hoja ambayo inaonesha kua 6ix9ine ana magonjwa mengi ambayo ni tishio endapo atapata virus vya corona kama "asthma", ambayo yatamuweka kwenye risk kubwa ya kitengo cha kuumwa corona.
Mwanzoni huyo mwanasheria serikali ilimkazia kwa hoja hiyo lakini ghafla baada ya muda wakamruhusu, so jamaa yuko nje uraiani mpaka muda huu. Lakini bado hajawa huru rasmi moja kwa moja nadhani hii ni kama kifungo cha nje kapewa.
Pia kapewa masharti kua akae miezi minne ndani kwake bila kwenda sehemu nyingine yeyote isipokua kukutana na wakili wake au kupata huduma za kitabibu katika hospitali au maduka ya dawa, lakini hii kwake itakua ni bora zaidi kuliko jela.
Japo jamaa kapigwa ban asiende ku record wala kufanya mizunguko kinyume na hizo sehemu mbili alizoruhusiwa, jumanne ya wiki hili Tekashi ali-post kwenye IG kua atakua na interview yake leo ijumaa. Bila shaka atakua live kupitia instagram sidhani kama ni media
View attachment 1444109View attachment 1444110
It's Scars
Jamaa wanatumia nguvu kubwa kumdondosha! Aliwafanyajee sijui!?.Hopefully R Kelly naye watamuachia kabla ya corona haijamshambulia.
Mumble rappers ni wasanii ambao nyimbo zao hazihitaji critical thinking kwamba ukisikiliza kuna la kujifunza. J cole ndo maana aliwachana yaani wao wanaongelea vitu vinne pesa, malaya, madawa na ukabaji (robbers). Flow zao ni dabbs na vimbwengele mbwengele vingine kama "skrrt" ili kuongeza urefu wa nyimboHahahaha had Post Malone!!Aya bhana nimekuelewa Mumble rapper Scars
Kwani ana matatizo ya kiafya?Hopefully R Kelly naye watamuachia kabla ya corona haijamshambulia.
Unataka source ya kuhusu mumble rappers uitoe billboard au BBC?Hahahaha had Post Malone!!,,Bro ata chuoni huwa tunaonywa sana kutafuta reference kwenye Wikipedia,,Bali bora tutumie PDF ishu za kitaaluma maana Wikipedia kila raia ana uwezo wa ku'apload anachoona kipo sahihi kwa upande wake atakama sio cha ukweli,,Sasa unaleta list ya Wikipedia chaliangu WTF!!l
Ubakaji wa watoto waliochini ya miaka18,,kesi kama 4 hiviR kelly ana kesi za ubakaji kama tatu hivi kama sikosei
Hahahah,,hapana ni UmriRainbow hair au?
This real rap no mumble yeyeyeyeh,,straight out the jungle,,,Future kweli kazingua kwenye life iz good..Ebu nambie ngoma ipi Post Malone kaimba vitu havieleweki?check Better now,Go flex,Rock star,Good bye, Psycho, zote zina mantiki hajaimba kuhusu madawa,Malaya wala magari.Mumble rappers ni wasanii ambao nyimbo zao hazihitaji critical thinking kwamba ukisikiliza kuna la kujifunza. J cole ndo maana aliwachana yaani wao wanaongelea vitu vinne pesa, malaya, madawa na ukabaji (robbers). Flow zao ni dabbs na vimbwengele mbwengele vingine kama "skrrt" ili kuongeza urefu wa nyimbo
Lil baby pure cocaine, humu hakuna kilichoimbwa wanajizungusha tu kupoteza muda ili mradi tu
Lil pump kaimba gucci gang lakini hakuna lryrical mle huwezi kumfananisha na dax kwenye book of revelations
Future ndo kabisa hata ukisikiliza ile nyimbo yake na drake "life is good" utagundua nyimbo ilianza kupoteza ladha alipoanza kuimba "future"
21savage huyu sio wa kumtetea labda kama hujaiskia ngoma yake ya "bank account" anarudia rudia tu maneno na kuhesabu namba yani kiufupi alichokiimba ni meaningless na ndio maana tunawaita mumble rappers na kuna cypher moja wako mumble rappers karibia wote na aliyeharibu kwenye hiyo cypher kushinda wenzake ni Uzi na kodak
Ni wengi mzee hao wote ni talentless na ndio maana Quavo walikua wanamdiss sana kua ana sauti nzuri ila anaimba trash, ndo maana kwenye Narcos akajitetea kua "this is real rap no mumble" lakini bado ni trash
Halafu huyu malone yuko kwenye genre ya pop na R&B wala sio rapper ye ni singer. Ukiangalia hata hizi latest songs alizofanya kama "thousands hundred" times na "circle" hizi nyimbo zote hakuna alipo rap zote kaimbaThis real rap no mumble yeyeyeyeh,,straight out the jungle,,,Future kweli kazingua kwenye life iz good..Ebu nambie ngoma ipi Post Malone kaimba vitu havieleweki?check Better now,Go flex,Rock star,Good bye, Psycho, zote zina mantiki hajaimba kuhusu madawa,Malaya wala magari.
Ngoma yake ya "I Admit" kama alijaribu kuutoa ukweli hivi.R kelly ana kesi za ubakaji kama tatu hivi kama sikosei
White Iverson ipo kwenye category ya Hip-hop.Halafu huyu malone yuko kwenye genre ya pop na R&B wala sio rapper ye ni singer. Ukiangalia hata hizi latest songs alizofanya kama "thousands hundred" times na "circle" hizi nyimbo zote hakuna alipo rap zote kaimba
Sasa mbona kwenye list yako ya Wikipedia yupo?,,I told U men Wikipedia mhhhhhHalafu huyu malone yuko kwenye genre ya pop na R&B wala sio rapper ye ni singer. Ukiangalia hata hizi latest songs alizofanya kama "thousands hundred" times na "circle" hizi nyimbo zote hakuna alipo rap zote kaimba
pia Mumble ni vile wanaimba vitu kama hawatamki maneno sawa sawa, unakuta mtu anaimba Pruuuuurakatatatattatatpupu paah yani hamna cha kueleweka [emoji28][emoji28] mziki unaniudhi mimi huo..Mumble rappers ni wasanii ambao nyimbo zao hazihitaji critical thinking kwamba ukisikiliza kuna la kujifunza. J cole ndo maana aliwachana yaani wao wanaongelea vitu vinne pesa, malaya, madawa na ukabaji (robbers). Flow zao ni dabbs na vimbwengele mbwengele vingine kama "skrrt" ili kuongeza urefu wa nyimbo
Lil baby pure cocaine, humu hakuna kilichoimbwa wanajizungusha tu kupoteza muda ili mradi tu
Lil pump kaimba gucci gang lakini hakuna lryrical mle huwezi kumfananisha na dax kwenye book of revelations
Future ndo kabisa hata ukisikiliza ile nyimbo yake na drake "life is good" utagundua nyimbo ilianza kupoteza ladha alipoanza kuimba "future"
21savage huyu sio wa kumtetea labda kama hujaiskia ngoma yake ya "bank account" anarudia rudia tu maneno na kuhesabu namba yani kiufupi alichokiimba ni meaningless na ndio maana tunawaita mumble rappers na kuna cypher moja wako mumble rappers karibia wote na aliyeharibu kwenye hiyo cypher kushinda wenzake ni Uzi na kodak
Ni wengi mzee hao wote ni talentless na ndio maana Quavo walikua wanamdiss sana kua ana sauti nzuri ila anaimba trash, ndo maana kwenye Narcos akajitetea kua "this is real rap no mumble" lakini bado ni trash