Tekashi 6ix9ine ameachiwa huru kutokana na hofu ya Corona Virus

Tekashi 6ix9ine ameachiwa huru kutokana na hofu ya Corona Virus

Mumble rappers ni wasanii ambao nyimbo zao hazihitaji critical thinking kwamba ukisikiliza kuna la kujifunza. J cole ndo maana aliwachana yaani wao wanaongelea vitu vinne pesa, malaya, madawa na ukabaji (robbers). Flow zao ni dabbs na vimbwengele mbwengele vingine kama "skrrt" ili kuongeza urefu wa nyimbo

Lil baby pure cocaine, humu hakuna kilichoimbwa wanajizungusha tu kupoteza muda ili mradi tu

Lil pump kaimba gucci gang lakini hakuna lryrical mle huwezi kumfananisha na dax kwenye book of revelations

Future ndo kabisa hata ukisikiliza ile nyimbo yake na drake "life is good" utagundua nyimbo ilianza kupoteza ladha alipoanza kuimba "future"

21savage huyu sio wa kumtetea labda kama hujaiskia ngoma yake ya "bank account" anarudia rudia tu maneno na kuhesabu namba yani kiufupi alichokiimba ni meaningless na ndio maana tunawaita mumble rappers na kuna cypher moja wako mumble rappers karibia wote na aliyeharibu kwenye hiyo cypher kushinda wenzake ni Uzi na kodak

Ni wengi mzee hao wote ni talentless na ndio maana Quavo walikua wanamdiss sana kua ana sauti nzuri ila anaimba trash, ndo maana kwenye Narcos akajitetea kua "this is real rap no mumble" lakini bado ni trash
Sasa wana tofauti gani na waimba singeli wakwetu....
 
Back
Top Bottom