Laki Si Pesa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 5,085
- 9,022
huyo tekeshi ndio namsikia leo dah!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bro nakupinga,,Mumble rappers ni wale wanaorap kama wananong'ona,,yaani ni ngumu kuskia wanachokiongea had ucheze na Lyrics kama Kodak Black,,ila Migos,6ix9ine,Lil Pump,DaBaby,21 Savage, na mnyama wangu kabisa mwenye Travee Scowise(Travis Scotty) sio Mumble rappers coz wanachoimba unakiskiaHawa ni mumble rappers na ndio maana nimemuwekea neno trapper kwenye mabano
Imevunja record yà Killshot ya M&M,,43.51 Million within 24hrs but ya M&M ilikua na 38.1Milion within such 24hrs.Mambo yamebadilika sana mkongwe. Huyo kijana jana usiku ameachia wimbo ambao unatishia kuvunja rekodi iliyowekwa na Rap God (Eminem). Hadi Youtube imezidiwa huko.
😂😂😂😂
Lil pump asiwe mumble rapper? Are you kidding?Bro nakupinga,,Mumble rappers ni wale wanaorap kama wananong'ona,,yaani ni ngumu kuskia wanachokiongea had ucheze na Lyrics kama Kodak Black,,ila Migos,6ix9ine,Lil Pump,DaBaby,21 Savage, na mnyama wangu kabisa mwenye Travee Scowise(Travis Scotty) sio Mumble rappers coz wanachoimba unakiskia
List hii hapamumble rap
A form of music that sounds like a stroke victim trying to deliver a speech; it is often incomprehensible and illogical. Characteristics of Mumble Rap include:
1) The rapper's stage name starts with "Lil" (Lil Wayne, Lil Pump, Lil Uzi Vert, Lil Yachty, etc.)
2) Lyrics are about sex, money, drugs, or fame with no originality
3) Mumble Rap is most often listened to by emotionally confused teens that get high (or vape) in groups in public areas
"...I didn't wanna rap like all these other rappers that's rapping right now with their same cadence... I can do it:
HEeDAHBAH-DUBAHDAH-UHH! HUuMANA-DUBADAH-BAHHH! DAABAHAEADAHAEBUADAH!"
- Snoop Dogg, 2015 on mumble rap
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji849]Souldier boy sijawahi kujua kama ni msanii, nilikuja kujua kwenye ile kiki yake na brown
Hizi nyimbo za siku hizi hizi ...!!!!!
Alikuwa kwenye gang ya wauza madawa akakamatwa. Polisi wakamwambia ataje wahusika ili apunguziwe kifungo.Kisa na mkasa nn?
Inawezekana umezeeka mzee hahahahah!Yaani ni makelele sijamuelewa kabisa...
Hizi nyimbo za siku hizi hizi ...!!!!!
Hahahaha had Post Malone!!Aya bhana nimekuelewa Mumble rapper ScarsList hii hapa
List of mumble rap artists - Wikipedia
Hahahaha had Post Malone!!,,Bro ata chuoni huwa tunaonywa sana kutafuta reference kwenye Wikipedia,,Bali bora tutumie PDF ishu za kitaaluma maana Wikipedia kila raia ana uwezo wa ku'apload anachoona kipo sahihi kwa upande wake atakama sio cha ukweli,,Sasa unaleta list ya Wikipedia chaliangu WTF!!lList hii hapa
List of mumble rap artists - Wikipedia