Field Marshall 11
Senior Member
- Nov 28, 2024
- 130
- 162
Nothing happens to big fish, and the likes of Abdul, of course, either in the pond or big in the ocean, need to face the same fate. A sword should cut both sides, Wandugu.Big or small, whoever is caught should face the 'music'.
EeehMoja ya matukio ya Hovyo ni kuchukua Trafiki video wanapokusanya mapato ya kuchomwa na jua la siku nzima hizi video zinalengo la kudhalilisha Trafic na sio sawa na yeyote mwenye hii Tabia aache… na jeshi la polisi Tz hili lichukuliwe kwenye Taswira ya kudhalilisha jeshi.
Trafic hajawahi kumlazimisha mtu kuchangia mapato ya kuchomwa na jua ! It is your choices ni ulipe fine ya 30,000 au umalizane nae hapo hapo yote ni sawa.
Ni makosa mapato ya kuchomwa na jua yatafsiriwe kama rushwa !! Kama polisi -Tanzania mnataka kweli ku deal na rushwa nendeni kwenye mikataba ya hiyo nchi kama DP World, Mikataba ya madini, Ujenzi wa SGR, ujenzi wa mwendokasi…. Huko ndio kuna Big fish Corruption
Mshahara wa Rais ni 139M ….. ambae 24 hours yupo kwa AC, , mshahara wa mawaziri ni mnono and yet wanapiga deal fake na muda wote wanakula mema ya nchi, watoto wa marais na mawaziri kama kina Abdul ambao hawana history ya nchi…. Wanakula mema na kupiga deal fake…. Goli moja linanunumia kwa 5M na chanzo cha fedha hakijulikana. Polisi yote hayo hamdeal nayo mnaenda ku deal na vi elf mbili mbili wanavopewa trafic kama mapato ya kuchomwa na jua !
Soma Pia: Trafiki wawili wakamatwa baada ya kunaswa kwenye video wakipokea Rushwa hadharani
Polisi TZ acheni mihemko ya kila kitu cha mitandao mkitolee ufafanuzi au ku deal nacho au kuwachukulia hatua watendaji wenu ! Mengine ni hayana msingi dilini na mambo makubwa yanayoikabili nchi kama vile Rushwa zinazofanywa na viongozi wakuu, utekaji n.k
Pamoja na mambo mengine mnatakiwa ku deal na watu wanao rekodi trafic wanapokuwa kwenye majukumu yao ya kukusanya mapato ya kuchomwa na jua, hao watu wakamatwe na wafanywe mfano maana wanadhalilisha watendaji wa jeshi la usalama wa barabarani. HAIKUBALIKI
Otherwise hao trafic warudi Ofisin haraka na ni aibu kamanda mkuuu kusimama kwa media kuongelea mambo kama hayo, ni kukosa weledi
Ni Nani aliyemuua Ali Kibao?
Yupo wapi Ben Saane?
Amekufa au yupo hai; kwenye mila zetu za Kichaga hii damu italipwa kwa namna yoyote mpaka
Mtuletee majivu yake tuyazike with our ritual proceedures or else the game is not over and our hearts are still bleeding
Tunataka kusikia ni nani aliyempiga Tundu Lissu risasi in the government yard ?
Tunataka kusikia Soka yupo wapi ?
Tunataka kusikia wabakaji wa binti wa Dovya wapo wapi ? Tunataka kusikia nani alimteka Nondo?
Hayo ndio majukumu yenu ya msingi
N.K
Hayo mengine ni hayana ishu kwa taifa;
Dr Megalodon, PhD Candidate
WHO Regional Office
Rue 52 , Ottawa
Canada
Acha utani, laki mbili kwa hizo buku mbilimbili na sio gari zote ni daladala tu na wengine huwa hawato na hapo kuna ganji ya mkuluWale nao walijiachia sana bhana, yaan hadi vibegi wamebeba na traffic kwa kucheza mchezo huwaambii kitu😆😆, uhakika wa kupata laki mbili kwa siku wanao,
Hata hivyo hao hawawezi kufukuzwa kazi zaidi zaidi wataondolewa road wabaki vituoni
Huu utetezi unaouona humu sio kwamba watu wanatetea uhalifu na wahalifu la hasha !Hili jambo limeinbua mitazamo finyu san kwa wa Tz wengi walioandk kutoa thread jamii forum.
Naendelea kuamin kuw kwa akili hiz tutaisubr haki itufate nyumbn na mae deleo.
Jamaa aliyerekodi hiyo video ni mtu anayejiekewa sana, akili kubwa. Kila anayekuwa katika eneo anapoweza kurekodi uhalifu(criminal activities) kama huo wa kupokea/kutoa rushwa afanye hivyo kwani huwa wanasaidia kwa namna moja au nyingine kuuweka bayana ushahidi wa uhalifu. Ingekuwa vizuri kama serikari ingekuwa inawafikiria wazalendo wa aina hii(to motivate the mass) kwa kuirahisishia serikali/vyombo vya ulinzi na usalama katika upelelezi wake.Traffic wanatusadia Sana barabarani hata kama wanatuandikia notification ni moja ya kazi zao..
Huyo jamaa aliyerekodi video ni mshamba Tu , kuna matukio mengi yanafanyika barabarani lkn hatuna muda wa kijinga WA kurekodi video.
Kama kila kosa wangekuwa wanatupiga faini watu wasingeingiza magari Yao barabarani, mara nyingi traffic wanakuwa watu wema Sana tena sanaa
Atawarekodi vipi wakati hajawaona wakifanya huo uhalifu? Kila raia mwema arekodi uhalifu anaouona. Mtu yuko Kawe, anawezaje kurekodi uhalifu unaofanyika Tabata?Trafiki hawana mambo mengi
(Wasio trafiki)Polisi wana mambo mengi
Aliyerekodi alitakiwa awarekodi hawa polisi au wanaoitwa wasiojulikana au watekaji
Kwa upande mwingine ninaweza kukubaliana na wewe kwamba police walipaswa kuanza na hao big fishes wanaosomwaga na CAG mara Kwa nara, ila kwenye hiki kipande umeandikia upumbavu mtupu.Mimi nadhan Polisi wa deal na watu wanaorekedi; hao wawe termed kama wadhalilishaji wa jeshi la polisi
Ila ya Ali kibao aaanh
Nondo aanh
Mfumo wote wa jeshi la polisi umejaa failures, yamejazana majinga jinga mshahara mdogo, makazi duni, weledi hafifu, zero exposure. Zimejaa ng'ombe ambazo zimeridhika na maisha ya kifukara. Amkaa acheni kulinda wezi wachache wanao umiza mamilioni ya raia.
Kaka huyu mleta mada licha ya kuishi kwenye nchi zenye civilization/ustaharabu ya Hali ya juu, lakini bado ana ujinga na unyani Mwingi sana kichwani, sijui hata kwenye hiyo level ya PHD amefika vipi.Honestly, mimi sikutegemea mtu anayesema yuko Canada kutangaza hadharani kabisa kuwa anaunga mkono utoaji na upokeaji wa rushwa.
NIMESIKITIKA SANA!
Tinaomba historia yako kuanzia ulivyo zaliwa mpaka sasa una zeeka lini uta itoa ewaniWale nao walijiachia sana bhana, yaan hadi vibegi wamebeba na traffic kwa kucheza mchezo huwaambii kitu😆😆, uhakika wa kupata laki mbili kwa siku wanao,
Hata hivyo hao hawawezi kufukuzwa kazi zaidi zaidi wataondolewa road wabaki vituoni
Umeeleza vzr mkuu , ila tutakaa kwenye ujinga huu hadi lin ? ,Huu utetezi unaouona humu sio kwamba watu wanatetea uhalifu na wahalifu la hasha !
Bali watu wanajua vizuri kabisa kwamba wanyonge ndio waathirika wakuu wa kushughulikiwa na hizo sheria zilizopo kwa sababu wao ndio soft target na ndio wako wazi zaidi wanaoweza kupatikana kwa urahisi zaidi katika hayo makosa kutokana na hali halisi ya vipato na maisha yao kwa ujumla !
Ilihali lile tabaka jingine haligusiki kutokana na Mazingira jinsi yalivyo !
Naunga mkono hoja hasa nikikumbuka lile tukio la Gongo la Mboto siku ya kura.Mfumo wote wa jeshi la polisi umejaa failures, yamejazana majinga jinga mshahara mdogo, makazi duni, weledi hafifu, zero exposure. Zimejaa ng'ombe ambazo zimeridhika na maisha ya kifukara. Amkaa acheni kulinda wezi wachache wanao umiza mamilioni ya raia.
Binafsi nafurahishwa sana na kamanda mkuu wa usalama barabarani na wasaidizi wake wanaopita mikoa mbalimbali kuwasimamia kwa umakini madereva wa mabasi masafa marefu.Moja ya matukio ya Hovyo ni kuchukua Trafiki video wanapokusanya mapato ya kuchomwa na jua la siku nzima hizi video zinalengo la kudhalilisha Trafic na sio sawa na yeyote mwenye hii Tabia aache… na jeshi la polisi Tz hili lichukuliwe kwenye Taswira ya kudhalilisha jeshi.
Trafic hajawahi kumlazimisha mtu kuchangia mapato ya kuchomwa na jua ! It is your choices ni ulipe fine ya 30,000 au umalizane nae hapo hapo yote ni sawa.
Ni makosa mapato ya kuchomwa na jua yatafsiriwe kama rushwa !! Kama polisi -Tanzania mnataka kweli ku deal na rushwa nendeni kwenye mikataba ya hiyo nchi kama DP World, Mikataba ya madini, Ujenzi wa SGR, ujenzi wa mwendokasi…. Huko ndio kuna Big fish Corruption
Mshahara wa Rais ni 139M ….. ambae 24 hours yupo kwa AC, , mshahara wa mawaziri ni mnono and yet wanapiga deal fake na muda wote wanakula mema ya nchi, watoto wa marais na mawaziri kama kina Abdul ambao hawana history ya nchi…. Wanakula mema na kupiga deal fake…. Goli moja linanunumia kwa 5M na chanzo cha fedha hakijulikana. Polisi yote hayo hamdeal nayo mnaenda ku deal na vi elf mbili mbili wanavopewa trafic kama mapato ya kuchomwa na jua !
Soma Pia: Trafiki wawili wakamatwa baada ya kunaswa kwenye video wakipokea Rushwa hadharani
Polisi TZ acheni mihemko ya kila kitu cha mitandao mkitolee ufafanuzi au ku deal nacho au kuwachukulia hatua watendaji wenu ! Mengine ni hayana msingi dilini na mambo makubwa yanayoikabili nchi kama vile Rushwa zinazofanywa na viongozi wakuu, utekaji n.k
Pamoja na mambo mengine mnatakiwa ku deal na watu wanao rekodi trafic wanapokuwa kwenye majukumu yao ya kukusanya mapato ya kuchomwa na jua, hao watu wakamatwe na wafanywe mfano maana wanadhalilisha watendaji wa jeshi la usalama wa barabarani. HAIKUBALIKI
Otherwise hao trafic warudi Ofisin haraka na ni aibu kamanda mkuuu kusimama kwa media kuongelea mambo kama hayo, ni kukosa weledi
Ni Nani aliyemuua Ali Kibao?
Yupo wapi Ben Saane?
Amekufa au yupo hai; kwenye mila zetu za Kichaga hii damu italipwa kwa namna yoyote mpaka
Mtuletee majivu yake tuyazike with our ritual proceedures or else the game is not over and our hearts are still bleeding
Tunataka kusikia ni nani aliyempiga Tundu Lissu risasi in the government yard ?
Tunataka kusikia Soka yupo wapi ?
Tunataka kusikia wabakaji wa binti wa Dovya wapo wapi ? Tunataka kusikia nani alimteka Nondo?
Hayo ndio majukumu yenu ya msingi
N.K
Hayo mengine ni hayana ishu kwa taifa;
Dr Megalodon, PhD Candidate
WHO Regional Office
Rue 52 , Ottawa
Canada
Unahoja Mkuu... Naomba usikilizweMoja ya matukio ya Hovyo ni kuchukua Trafiki video wanapokusanya mapato ya kuchomwa na jua la siku nzima hizi video zinalengo la kudhalilisha Trafic na sio sawa na yeyote mwenye hii Tabia aache… na jeshi la polisi Tz hili lichukuliwe kwenye Taswira ya kudhalilisha jeshi.