Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SahihiNaunga mkono hoja. Pamoja na kero za trafiki barabarani lakini hawajawahi kumlazimisha mtu kutoa hongo. Tena huwa wanawashawishiwa sana wapokee hongo. Hivi uliyepiga hiyo picha unapata faida gani kwa askari hao kufukuzwa kazi?
Jeshi la Polisi tunaomba hao Askari wasamehewe
Lakini unayohaki ya wewe kushitaki yaani unayohaki ya ww kwenda mahakamani kutafuta haki yakoMkuu, trafiki wanaongozwa na sheria ya usalama barabarani. Sheria inaelekeza kuwa askari anaweza kufifilisha kosa pale dereva anapokubali kosa. Kufifilisha (compound) ndio vile anavyokuandikia faini.
Ikiwa dereva hajakubali kosa anatakiwa kufikishwa mahakamani na kama kosa litathibitika mahakamani basi atalipa faini kwa amri ya mahakama.
Sasa hapo kwenye kufifilisha kosa ndio maaskari wanapojificha na kufanya vile watakavyo kupitia zile Pos machine. Hakuna askari anayekubali kumfikisha dereva mahakamani, anakuandikia tu utajua wewe mwenyewe. Na ndio msingi wa hizo hela zinazotolewa kama rushwa, mtu anatoa bila kupenda maana anajua akibisha zaidi basi anakula umeme wa elfu 30 iwe amekosa au la
Jumanne mliro katimiza wajibu wake asingeweza kuwaacha huru wakati video imewaonyesha wakichukua rushwa tena kwa Kasi ya ajabu, hao wanaokula billions siku wakionekana live kama hao naamini mliro atawasweka ndani pia tumsaidie kumpelekea evidence kama alivyofanya aliyerekodi video ya traffic, pongezi kwake.
SawaBinafsi nafurahishwa sana na kamanda mkuu wa usalama barabarani na wasaidizi wake wanaopita mikoa mbalimbali kuwasimamia kwa umakini madereva wa mabasi masafa marefu.
mtoa mada nikupe mfano umepanda basi unatoka moshi kuja Dar halafu dereva wa basi akaovateki Kwenye mteremko mkali na mbele kuna Kona Kali akakoswa na Lori la mafuta halafu mbele kama mita 500 kuna trafiki wa tochi akamsimamisha Dreva akaanza kujitetea ni nini kingekuwa sahihi kwa uelewa wako?
Dereva ajitete kwa trafiki kwa njia yoyote Trafiki amsamehe au trafiki ampige faini Kali ya risiti ya tra na kufungiwa leseni ?
Asante.Umeeleza vzr mkuu , ila tutakaa kwenye ujinga huu hadi lin ? ,
Unatak kusema kuw mmiliki alie nunua costa ya 90Million atashindwa kutimiza kanuni za barabarani ?
Unazan wote wanao toa hongo (daladala driver wanamakosa , ?) wengin wanatzmiza tuu mazoea kuepusha kubabikiwa na kusumbuliwa .
Ila mabadiliko yanapaswa yaanzie juu huko na chini (mifumo ya elimu) matumiz ya teknolojia yanawez kupunguz rushwa na urasimu kwa 90%
DahNaunga mkono hoja hasa nikikumbuka lile tukio la Gongo la Mboto siku ya kura.
Mwananchi anajaribu kuzuia mtu wa ccm kuingiza kura bandia ndani ya kituo cha kura, polisi anampiga risasi na kumuua ili kutetea na kulinda wizi, dah!!!
Na hadi sasa hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa!
Laana ya Polisi ni nzito na kubwa mno
Waache washangalie watakapokua wanakaa kwenye foleni masaa manne wasipige kelele watulie hvyo hvyoMoja ya matukio ya Hovyo ni kuchukua Trafiki video wanapokusanya mapato ya kuchomwa na jua la siku nzima hizi video zinalengo la kudhalilisha Trafic na sio sawa na yeyote mwenye hii Tabia aache… na jeshi la polisi Tz hili lichukuliwe kwenye Taswira ya kudhalilisha jeshi.
Trafic hajawahi kumlazimisha mtu kuchangia mapato ya kuchomwa na jua ! It is your choices ni ulipe fine ya 30,000 au umalizane nae hapo hapo yote ni sawa.
Ni makosa mapato ya kuchomwa na jua yatafsiriwe kama rushwa !! Kama polisi -Tanzania mnataka kweli ku deal na rushwa nendeni kwenye mikataba ya hiyo nchi kama DP World, Mikataba ya madini, Ujenzi wa SGR, ujenzi wa mwendokasi…. Huko ndio kuna Big fish Corruption
Mshahara wa Rais ni 139M ….. ambae 24 hours yupo kwa AC, , mshahara wa mawaziri ni mnono and yet wanapiga deal fake na muda wote wanakula mema ya nchi, watoto wa marais na mawaziri kama kina Abdul ambao hawana history ya nchi…. Wanakula mema na kupiga deal fake…. Goli moja linanunumia kwa 5M na chanzo cha fedha hakijulikana. Polisi yote hayo hamdeal nayo mnaenda ku deal na vi elf mbili mbili wanavopewa trafic kama mapato ya kuchomwa na jua !
Soma Pia: Trafiki wawili wakamatwa baada ya kunaswa kwenye video wakipokea Rushwa hadharani
Polisi TZ acheni mihemko ya kila kitu cha mitandao mkitolee ufafanuzi au ku deal nacho au kuwachukulia hatua watendaji wenu ! Mengine ni hayana msingi dilini na mambo makubwa yanayoikabili nchi kama vile Rushwa zinazofanywa na viongozi wakuu, utekaji n.k
Pamoja na mambo mengine mnatakiwa ku deal na watu wanao rekodi trafic wanapokuwa kwenye majukumu yao ya kukusanya mapato ya kuchomwa na jua, hao watu wakamatwe na wafanywe mfano maana wanadhalilisha watendaji wa jeshi la usalama wa barabarani. HAIKUBALIKI
Otherwise hao trafic warudi Ofisin haraka na ni aibu kamanda mkuuu kusimama kwa media kuongelea mambo kama hayo, ni kukosa weledi
Ni Nani aliyemuua Ali Kibao?
Yupo wapi Ben Saane?
Amekufa au yupo hai; kwenye mila zetu za Kichaga hii damu italipwa kwa namna yoyote mpaka
Mtuletee majivu yake tuyazike with our ritual proceedures or else the game is not over and our hearts are still bleeding
Tunataka kusikia ni nani aliyempiga Tundu Lissu risasi in the government yard ?
Tunataka kusikia Soka yupo wapi ?
Tunataka kusikia wabakaji wa binti wa Dovya wapo wapi ? Tunataka kusikia nani alimteka Nondo?
Hayo ndio majukumu yenu ya msingi
N.K
Hayo mengine ni hayana ishu kwa taifa;
Dr Megalodon, PhD Candidate
WHO Regional Office
Rue 52 , Ottawa
Canada
Wote tunafahamu hilo haliwezekani, Mliona Meremeta, EPA, Ricmond, na hata DP World.Waanze na mabig fish kule juu ndio washuke huku chini kwenye vidagaa
Kwamba ni kweli serious wale askari walipelekwa mahabusu?Moja ya matukio ya Hovyo ni kuchukua Trafiki video wanapokusanya mapato ya kuchomwa na jua la siku nzima hizi video zinalengo la kudhalilisha Trafic na sio sawa na yeyote mwenye hii Tabia aache… na jeshi la polisi Tz hili lichukuliwe kwenye Taswira ya kudhalilisha jeshi.
Trafic hajawahi kumlazimisha mtu kuchangia mapato ya kuchomwa na jua ! It is your choices ni ulipe fine ya 30,000 au umalizane nae hapo hapo yote ni sawa.
Ni makosa mapato ya kuchomwa na jua yatafsiriwe kama rushwa !! Kama polisi -Tanzania mnataka kweli ku deal na rushwa nendeni kwenye mikataba ya hiyo nchi kama DP World, Mikataba ya madini, Ujenzi wa SGR, ujenzi wa mwendokasi…. Huko ndio kuna Big fish Corruption
Mshahara wa Rais ni 139M ….. ambae 24 hours yupo kwa AC, , mshahara wa mawaziri ni mnono and yet wanapiga deal fake na muda wote wanakula mema ya nchi, watoto wa marais na mawaziri kama kina Abdul ambao hawana history ya nchi…. Wanakula mema na kupiga deal fake…. Goli moja linanunumia kwa 5M na chanzo cha fedha hakijulikana. Polisi yote hayo hamdeal nayo mnaenda ku deal na vi elf mbili mbili wanavopewa trafic kama mapato ya kuchomwa na jua !
Soma Pia: Trafiki wawili wakamatwa baada ya kunaswa kwenye video wakipokea Rushwa hadharani
Polisi TZ acheni mihemko ya kila kitu cha mitandao mkitolee ufafanuzi au ku deal nacho au kuwachukulia hatua watendaji wenu ! Mengine ni hayana msingi dilini na mambo makubwa yanayoikabili nchi kama vile Rushwa zinazofanywa na viongozi wakuu, utekaji n.k
Pamoja na mambo mengine mnatakiwa ku deal na watu wanao rekodi trafic wanapokuwa kwenye majukumu yao ya kukusanya mapato ya kuchomwa na jua, hao watu wakamatwe na wafanywe mfano maana wanadhalilisha watendaji wa jeshi la usalama wa barabarani. HAIKUBALIKI
Otherwise hao trafic warudi Ofisin haraka na ni aibu kamanda mkuuu kusimama kwa media kuongelea mambo kama hayo, ni kukosa weledi
Ni Nani aliyemuua Ali Kibao?
Yupo wapi Ben Saane?
Amekufa au yupo hai; kwenye mila zetu za Kichaga hii damu italipwa kwa namna yoyote mpaka
Mtuletee majivu yake tuyazike with our ritual proceedures or else the game is not over and our hearts are still bleeding
Tunataka kusikia ni nani aliyempiga Tundu Lissu risasi in the government yard ?
Tunataka kusikia Soka yupo wapi ?
Tunataka kusikia wabakaji wa binti wa Dovya wapo wapi ? Tunataka kusikia nani alimteka Nondo?
Hayo ndio majukumu yenu ya msingi
N.K
Hayo mengine ni hayana ishu kwa taifa;
Dr Megalodon, PhD Candidate
WHO Regional Office
Rue 52 , Ottawa
Canada
Kwenye nchi za kijamaa Kuna kosa la UZEMBE NA UZURULAJI..Kuzurula kwenye Nchi yako ni kosa kwa mujbu wa sheria gani?.
For years Mahabusu ni sehemu nzurii/salama ya kupumzisha mshukiwa/ mtuhumiwa/ raia wema.Kwamba ni kweli serious wale askari walipelekwa mahabusu?
Mkuu, ni wajibu wa raia kuwa perfect. Sasa unachokizungumza unahalalisha polisi kuwa juu ya sheria ilhali wakitaka raia kutii sheria, hakuwezi kuwa na haki. Rushwa itatawala.Lakini unayohaki ya wewe kushitaki yaani unayohaki ya ww kwenda mahakamani kutafuta haki yako
Kama kweli unao huo mudq wa kwendq mahakamn and all that out of 5000 only ….. ni hatar
Njia pekee achana na makosa ya road !
Kwa mfano, wangapi mnatembea na triangle , fire extinguisher ? Mnajua kuwa hii ni faini ?
leo wakisema waanze msako wa triangle au fire extinguisher
Wsngapi mtakula umeme ?
Sasa kama hutak shida then be perfect
Wale waachiwe mara moja. Kwa sababu wanawasaidia raia.For years Mahabusu ni sehemu nzurii/salama ya kupumzisha mshukiwa/ mtuhumiwa/ raia wema.
Haishangazi askari walio tenda kosa kupumzika Mahabusu kwa mahojiano/ kuuhadaa umma.
Binafsi ushauri wangu hao maaskari waachiwe na warudishwe kazini Mara mojaa.
TrueeWale waachiwe mara moja. Kwa sababu wanawasaidia raia.
Wewe dili na big fish sisi tunakomaa na vidagaaDogo, mifumo ya nchi nzima ni Corrupt
Start with big fish ndio uje na small fish
Otherwise ni UPUMBAVU….. Hold it