Teknolojia isiathiri utu wetu, Polisi Tanzania msifanye kazi kwa mhemko. Trafiki 2 warudi Ofisini haraka

Teknolojia isiathiri utu wetu, Polisi Tanzania msifanye kazi kwa mhemko. Trafiki 2 warudi Ofisini haraka

Naunga mkono hoja. Pamoja na kero za trafiki barabarani lakini hawajawahi kumlazimisha mtu kutoa hongo. Tena huwa wanawashawishiwa sana wapokee hongo. Hivi uliyepiga hiyo picha unapata faida gani kwa askari hao kufukuzwa kazi?

Jeshi la Polisi tunaomba hao Askari wasamehewe
Sahihi
Trafic akikudaga anaomba leseni na anakuandikia

Sisi ndio huwa ndio tunaanza ooh mzee thelathin nyingi, tumalize hapa hapa and blah blah

Wengine wanagoma inabidi umuombe kichizi

Mtoa rushwq na mpokea rushwq ip tofauti yao….. hii ni timu work. Why anakamatwa aliyechukua tu ? Yupo wapi aliyetoa ?

Ndio maana polisi wanapaswq pia ku deal na hawa wanaorekodi
 
Mkuu, trafiki wanaongozwa na sheria ya usalama barabarani. Sheria inaelekeza kuwa askari anaweza kufifilisha kosa pale dereva anapokubali kosa. Kufifilisha (compound) ndio vile anavyokuandikia faini.

Ikiwa dereva hajakubali kosa anatakiwa kufikishwa mahakamani na kama kosa litathibitika mahakamani basi atalipa faini kwa amri ya mahakama.

Sasa hapo kwenye kufifilisha kosa ndio maaskari wanapojificha na kufanya vile watakavyo kupitia zile Pos machine. Hakuna askari anayekubali kumfikisha dereva mahakamani, anakuandikia tu utajua wewe mwenyewe. Na ndio msingi wa hizo hela zinazotolewa kama rushwa, mtu anatoa bila kupenda maana anajua akibisha zaidi basi anakula umeme wa elfu 30 iwe amekosa au la
Lakini unayohaki ya wewe kushitaki yaani unayohaki ya ww kwenda mahakamani kutafuta haki yako

Kama kweli unao huo mudq wa kwendq mahakamn and all that out of 5000 only ….. ni hatar
Njia pekee achana na makosa ya road !

Kwa mfano, wangapi mnatembea na triangle , fire extinguisher ? Mnajua kuwa hii ni faini ?

leo wakisema waanze msako wa triangle au fire extinguisher
Wsngapi mtakula umeme ?

Sasa kama hutak shida then be perfect
 
Jumanne mliro katimiza wajibu wake asingeweza kuwaacha huru wakati video imewaonyesha wakichukua rushwa tena kwa Kasi ya ajabu, hao wanaokula billions siku wakionekana live kama hao naamini mliro atawasweka ndani pia tumsaidie kumpelekea evidence kama alivyofanya aliyerekodi video ya traffic, pongezi kwake.

Hizi ni statement za hovyo sana

Ni sawa na mtu anaeomba evidence za Lissu kushambuliwa.

Ukitaka Evidence mtafute Hamza

Ukitaka evidence nendq TAKUKURU

Kazi yangu sio kuwapa Evidence….! Watafute evidence
 
Binafsi nafurahishwa sana na kamanda mkuu wa usalama barabarani na wasaidizi wake wanaopita mikoa mbalimbali kuwasimamia kwa umakini madereva wa mabasi masafa marefu.

mtoa mada nikupe mfano umepanda basi unatoka moshi kuja Dar halafu dereva wa basi akaovateki Kwenye mteremko mkali na mbele kuna Kona Kali akakoswa na Lori la mafuta halafu mbele kama mita 500 kuna trafiki wa tochi akamsimamisha Dreva akaanza kujitetea ni nini kingekuwa sahihi kwa uelewa wako?

Dereva ajitete kwa trafiki kwa njia yoyote Trafiki amsamehe au trafiki ampige faini Kali ya risiti ya tra na kufungiwa leseni ?
Sawa
 
Umeeleza vzr mkuu , ila tutakaa kwenye ujinga huu hadi lin ? ,
Unatak kusema kuw mmiliki alie nunua costa ya 90Million atashindwa kutimiza kanuni za barabarani ?
Unazan wote wanao toa hongo (daladala driver wanamakosa , ?) wengin wanatzmiza tuu mazoea kuepusha kubabikiwa na kusumbuliwa .

Ila mabadiliko yanapaswa yaanzie juu huko na chini (mifumo ya elimu) matumiz ya teknolojia yanawez kupunguz rushwa na urasimu kwa 90%
Asante.
 
Naunga mkono hoja hasa nikikumbuka lile tukio la Gongo la Mboto siku ya kura.

Mwananchi anajaribu kuzuia mtu wa ccm kuingiza kura bandia ndani ya kituo cha kura, polisi anampiga risasi na kumuua ili kutetea na kulinda wizi, dah!!!
Na hadi sasa hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa!
Laana ya Polisi ni nzito na kubwa mno
Dah
 
Moja ya matukio ya Hovyo ni kuchukua Trafiki video wanapokusanya mapato ya kuchomwa na jua la siku nzima hizi video zinalengo la kudhalilisha Trafic na sio sawa na yeyote mwenye hii Tabia aache… na jeshi la polisi Tz hili lichukuliwe kwenye Taswira ya kudhalilisha jeshi.

Trafic hajawahi kumlazimisha mtu kuchangia mapato ya kuchomwa na jua ! It is your choices ni ulipe fine ya 30,000 au umalizane nae hapo hapo yote ni sawa.

Ni makosa mapato ya kuchomwa na jua yatafsiriwe kama rushwa !! Kama polisi -Tanzania mnataka kweli ku deal na rushwa nendeni kwenye mikataba ya hiyo nchi kama DP World, Mikataba ya madini, Ujenzi wa SGR, ujenzi wa mwendokasi…. Huko ndio kuna Big fish Corruption

Mshahara wa Rais ni 139M ….. ambae 24 hours yupo kwa AC, , mshahara wa mawaziri ni mnono and yet wanapiga deal fake na muda wote wanakula mema ya nchi, watoto wa marais na mawaziri kama kina Abdul ambao hawana history ya nchi…. Wanakula mema na kupiga deal fake…. Goli moja linanunumia kwa 5M na chanzo cha fedha hakijulikana. Polisi yote hayo hamdeal nayo mnaenda ku deal na vi elf mbili mbili wanavopewa trafic kama mapato ya kuchomwa na jua !

Soma Pia: Trafiki wawili wakamatwa baada ya kunaswa kwenye video wakipokea Rushwa hadharani

Polisi TZ acheni mihemko ya kila kitu cha mitandao mkitolee ufafanuzi au ku deal nacho au kuwachukulia hatua watendaji wenu ! Mengine ni hayana msingi dilini na mambo makubwa yanayoikabili nchi kama vile Rushwa zinazofanywa na viongozi wakuu, utekaji n.k

Pamoja na mambo mengine mnatakiwa ku deal na watu wanao rekodi trafic wanapokuwa kwenye majukumu yao ya kukusanya mapato ya kuchomwa na jua, hao watu wakamatwe na wafanywe mfano maana wanadhalilisha watendaji wa jeshi la usalama wa barabarani. HAIKUBALIKI

Otherwise hao trafic warudi Ofisin haraka na ni aibu kamanda mkuuu kusimama kwa media kuongelea mambo kama hayo, ni kukosa weledi

Ni Nani aliyemuua Ali Kibao?

Yupo wapi Ben Saane?

Amekufa au yupo hai; kwenye mila zetu za Kichaga hii damu italipwa kwa namna yoyote mpaka
Mtuletee majivu yake tuyazike with our ritual proceedures or else the game is not over and our hearts are still bleeding

Tunataka kusikia ni nani aliyempiga Tundu Lissu risasi in the government yard ?

Tunataka kusikia Soka yupo wapi ?

Tunataka kusikia wabakaji wa binti wa Dovya wapo wapi ? Tunataka kusikia nani alimteka Nondo?

Hayo ndio majukumu yenu ya msingi

N.K
Hayo mengine ni hayana ishu kwa taifa;

Dr Megalodon, PhD Candidate
WHO Regional Office
Rue 52 , Ottawa
Canada
Waache washangalie watakapokua wanakaa kwenye foleni masaa manne wasipige kelele watulie hvyo hvyo
 
Waanze na mabig fish kule juu ndio washuke huku chini kwenye vidagaa
Wote tunafahamu hilo haliwezekani, Mliona Meremeta, EPA, Ricmond, na hata DP World.

Mimi na wewe tunafahamu, Big Fish ndio wanatoa maelekezo polisi wafanye nini, nani ashughulikiwe kwa namna gani, na kiasi gani na nani aachwe.

Hawa polisi wanafanya kazi kwa maelekezo ya hao Bigfish hivyo, hakuna wanaweza kufanya zaidi ya hicho walichofanya.

Sema bahati mbaya wanawashughulikia wenzao kwa kudhani watasifiwa, badala ya kuwalinda wenzao wanawalinda BigFish, alafu wanawashughulikia wenzao.
 
Moja ya matukio ya Hovyo ni kuchukua Trafiki video wanapokusanya mapato ya kuchomwa na jua la siku nzima hizi video zinalengo la kudhalilisha Trafic na sio sawa na yeyote mwenye hii Tabia aache… na jeshi la polisi Tz hili lichukuliwe kwenye Taswira ya kudhalilisha jeshi.

Trafic hajawahi kumlazimisha mtu kuchangia mapato ya kuchomwa na jua ! It is your choices ni ulipe fine ya 30,000 au umalizane nae hapo hapo yote ni sawa.

Ni makosa mapato ya kuchomwa na jua yatafsiriwe kama rushwa !! Kama polisi -Tanzania mnataka kweli ku deal na rushwa nendeni kwenye mikataba ya hiyo nchi kama DP World, Mikataba ya madini, Ujenzi wa SGR, ujenzi wa mwendokasi…. Huko ndio kuna Big fish Corruption

Mshahara wa Rais ni 139M ….. ambae 24 hours yupo kwa AC, , mshahara wa mawaziri ni mnono and yet wanapiga deal fake na muda wote wanakula mema ya nchi, watoto wa marais na mawaziri kama kina Abdul ambao hawana history ya nchi…. Wanakula mema na kupiga deal fake…. Goli moja linanunumia kwa 5M na chanzo cha fedha hakijulikana. Polisi yote hayo hamdeal nayo mnaenda ku deal na vi elf mbili mbili wanavopewa trafic kama mapato ya kuchomwa na jua !

Soma Pia: Trafiki wawili wakamatwa baada ya kunaswa kwenye video wakipokea Rushwa hadharani

Polisi TZ acheni mihemko ya kila kitu cha mitandao mkitolee ufafanuzi au ku deal nacho au kuwachukulia hatua watendaji wenu ! Mengine ni hayana msingi dilini na mambo makubwa yanayoikabili nchi kama vile Rushwa zinazofanywa na viongozi wakuu, utekaji n.k

Pamoja na mambo mengine mnatakiwa ku deal na watu wanao rekodi trafic wanapokuwa kwenye majukumu yao ya kukusanya mapato ya kuchomwa na jua, hao watu wakamatwe na wafanywe mfano maana wanadhalilisha watendaji wa jeshi la usalama wa barabarani. HAIKUBALIKI

Otherwise hao trafic warudi Ofisin haraka na ni aibu kamanda mkuuu kusimama kwa media kuongelea mambo kama hayo, ni kukosa weledi

Ni Nani aliyemuua Ali Kibao?

Yupo wapi Ben Saane?

Amekufa au yupo hai; kwenye mila zetu za Kichaga hii damu italipwa kwa namna yoyote mpaka
Mtuletee majivu yake tuyazike with our ritual proceedures or else the game is not over and our hearts are still bleeding

Tunataka kusikia ni nani aliyempiga Tundu Lissu risasi in the government yard ?

Tunataka kusikia Soka yupo wapi ?

Tunataka kusikia wabakaji wa binti wa Dovya wapo wapi ? Tunataka kusikia nani alimteka Nondo?

Hayo ndio majukumu yenu ya msingi

N.K
Hayo mengine ni hayana ishu kwa taifa;

Dr Megalodon, PhD Candidate
WHO Regional Office
Rue 52 , Ottawa
Canada
Kwamba ni kweli serious wale askari walipelekwa mahabusu?
 
Kwamba ni kweli serious wale askari walipelekwa mahabusu?
For years Mahabusu ni sehemu nzurii/salama ya kupumzisha mshukiwa/ mtuhumiwa/ raia wema.

Haishangazi askari walio tenda kosa kupumzika Mahabusu kwa mahojiano/ kuuhadaa umma.

Binafsi ushauri wangu hao maaskari waachiwe na warudishwe kazini Mara mojaa.
 
Lakini unayohaki ya wewe kushitaki yaani unayohaki ya ww kwenda mahakamani kutafuta haki yako

Kama kweli unao huo mudq wa kwendq mahakamn and all that out of 5000 only ….. ni hatar
Njia pekee achana na makosa ya road !

Kwa mfano, wangapi mnatembea na triangle , fire extinguisher ? Mnajua kuwa hii ni faini ?

leo wakisema waanze msako wa triangle au fire extinguisher
Wsngapi mtakula umeme ?

Sasa kama hutak shida then be perfect
Mkuu, ni wajibu wa raia kuwa perfect. Sasa unachokizungumza unahalalisha polisi kuwa juu ya sheria ilhali wakitaka raia kutii sheria, hakuwezi kuwa na haki. Rushwa itatawala.

Tunapokwenda mahakamani hatuangalii sana gharama za kifedha bali kuweka misingi ya kuheshimu sheria. Wewe unasema mtu atapoteza muda kwa kwenda mahakamani kisa shilingi elfu 5, hapo Sudan watu walimng'oa madarakani Rais Bashir kwa ongezeko la Tshs. 100 tu kwenye bei ya mkate. Yaani hatupaswi kupuuza uvunjwaji wa sheria au uonevu.

Sheria ziliwekwa ili zifuatwe lakini hapohapo wasiozifuata wapo, wataadhibiwa kwa mujibu wa sheria. Sasa askari anapata wapi uhalali wa kukuandikia faini wakati hujakiri kosa?? Yaani avunje sheria makusudi kwa sababu anajua una haki ya kwenda mahakamani kudai haki aliyoivunja?? Huyu hafai kuwa polisi.

Mwenendo wa hivi, matokeo yake ni hata wao wenyewe polisi kunyimwa barua na miendendo ya mashauri yao ya nidhamu pindi wanapofukuzwa kazi. Yaani unafukuzwa kazi halafu unaanza kumuomba IGP akupe barua iliyoonesha kuwa umefukuzwa kazi, na IGP hakupi. Uvunjaji wa sheria
 
For years Mahabusu ni sehemu nzurii/salama ya kupumzisha mshukiwa/ mtuhumiwa/ raia wema.

Haishangazi askari walio tenda kosa kupumzika Mahabusu kwa mahojiano/ kuuhadaa umma.

Binafsi ushauri wangu hao maaskari waachiwe na warudishwe kazini Mara mojaa.
Wale waachiwe mara moja. Kwa sababu wanawasaidia raia.
 
Back
Top Bottom