Teknolojia: Njia rahisi ya mzazi kumwachia mtoto simu yake bila hofu ya kuvuruga files

Teknolojia: Njia rahisi ya mzazi kumwachia mtoto simu yake bila hofu ya kuvuruga files

Tomaa Mireni

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2015
Posts
2,395
Reaction score
2,391
Mfumo huu unaitwa kids mode,hii ni kwa ajili ya watoto kwanzia wadogo mpaka wakubwa.

Njia hii kwa sasa inapatikana kwenye simu karibu zote,na haitakuhitaji kuanza kuficha files zako kwa apps tumizi kama vault kwa hofu kwamba mtoto atavuruga au kufuta.

Kwanza ni lazma iwe na lock ya kawaida kisa unatengeneza lock nyingine ambayo mtoto hatoijua kama akitaka kutoka ili kwenda kwenye mfumo mzima (wa kawaida) wa simu .

1. Cha kwanza Active huo mfumo kwenye simu yako
2. Pangilia programu za kuonekana pindi uwashapo kama magame,apps mbalimbali za kitoto au masomo bila kusahau YouTube kids
3. Weka na muda ambao mtoto atatumia kama utampa simu yako(time left)


Baada ya kuweka(setup zako) rudi back. Sasa uko huru kumpa mwanao atumie simu yako bila wasi wasi wa kuharibu.

Kabla hujampa mtoto hakikisha unactive kids mode na kisha mpe. Kama una changamoto yeyote unaweza kuangalia hii video chini.

MKO HURU KWA MASWALI ZAIDI.
 
Back
Top Bottom