Teknolojia ya Digitali ya Startimes na Ting: Kero za watumiaji


Mmh! hii kweli BALUA pepe.
 
una akili sana lakini rudi kwanza kwa mwalimu wako wa somo la kiswahili,
ndo uje na tangazo lako.
 

refresh king'amuzi hicho wewe
 

ni barua ya wazi au balua ya wazi? rekebisha heading tafadhali. halafu jamaa ni kweli wamechakachua, ukitaka channel zaidi ya hizo inabidi uwataarifu kisha upnde dau iwe sh. 18,000/= badala ya elfu tisa! in fact hii ni hadithi ya ngamia anaomba kuingiza kichwa tu mwarabu akikubali tu hema hema hamna!
 
Kila siku mbona Startimes ni kero? Kwanini usijiunge na DSTV or EasyTV! Hizo ndizo kero za vitu vya bei chee
 
Tumekua tukiangalia Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kupitia king'amuzi cha Startimes ktk Chaneli ya KBC1 kwa wale tunaotumia kifurushi cha shs 9000 tangu mashindano yalipoanza!Lakini katika Michezo ya Nusu Fainali hawa jamaa wameweka tangazo kutaka watazamaji walipe fedha zaidi ili waone mechi hizo kupitia chaneli ya UBC ambayo ipo katika kifurushi cha Uhuru!Uki-tune KBC1 unakuta "NO SERVICE" lakini chaneli hiyo inapatika katika Dish!Mechi kati ya Zambia na Ghana haikuonekana,lakini baada ya Mechi kuisha chaneli imerudi hewani,then mechi ya Pili imeanza uki-tune KBC1 unaambiwa No service!!Huu ni uhuni wa aina yake!!
 
Ndio mdau hata kwangu imetokea hivyo nikajua ni uhuni wao tu. Biashara haitafutwi kwa ujinga huo walionao. Tutahamia zuku na wachina na startimes yao warudi kwao. No service after the game its back. Ni ujinga kwanza channel za uhuru package ni za kijinga zote hakuna mtu mwerevu anayeweza kulipia hizo. Wamebugi.
 
Kbc inapatikana buree kwenye sateliti ya nss 12 kwa fregwens hii 11025h9690 huelekeo ni mashariki dish ku ft 2 mtu akikulipisha anakuibia hiyo
 
wahuni sana na wanakera ch. zimejaa za kichina ! hakuna ch ya maana wizi tu!!
 

ubepari hauna sura wala rangi: umeona sasa true colour ya mchina? its all about the benjamins
 
Hee nlidhani ni kwangu, adhabu ntakayowapa ni kutonunua vocha za hadi June, iwapo wataonyesha Euro.
 
Hawa Wachina wa StarTimes wanashangaza sana, wanadandia vichaneli vya ovyo-ovyo na vingine vya bure halafu wanatuuzia, vichaneli vingine sijui kama kuna Watanzania wanaangalia, hasa za lugha za Kichina na Kifaransa na Spanyola.
StarTimes, baada ya kugundua KBC wanarusha AFCON sasa wametufungia!
Hivi kuna sheria gani inatulindaje walaji dhidi ya utapeli na unyanyasaji huo?
Maana tumelipia KBC kwanini wanatufungia? Tuchukue hatua gani? Tushitaki kwa nani?
 

TCRA ndio mahali muafaka Mkuu (wapo Sam Nujoma road). Tena wapeleke haraka kama ndio uhuni wao, wanafanya nchi hii ni shamba la bibi! Tatizo hizi mamlaka zimelala na wananchi hawajui haki zao. What a mess? Lakini anzia kusoma ule mkataba wao ujue wanasemaje
 
aisee huu ni uhuni kabisa ni kweli mi mwenyewe nimefika hapa naangalia hiyo channel naambiwa no service yaani huu ni u.p.u.u.z.i mtupu. Mimi nitakitupa hiki kidecoder chao kama ndo hivi
 
aisee huu ni uhuni kabisa ni kweli mi mwenyewe nimefika hapa naangalia hiyo channel naambiwa no service yaani huu ni u.p.u.u.z.i mtupu. Mimi nitakitupa hiki kidecoder chao kama ndo hivi
Usikitupe mkuu, utapoteza vyote. Cha kufanya ungana na Ibra ili mkawashikishe adabu pale TCRA. Lakini pakuanzia ni ule mkataba wao. kwani unasemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…