Teknolojia ya Digitali ya Startimes na Ting: Kero za watumiaji

Teknolojia ya Digitali ya Startimes na Ting: Kero za watumiaji

Hapo ndio wana ku allert ujiunge na DSTV mpango mzimaaaaaaa!!!!

Ndugu? Dstv wanamudu WaTanzania wangapi? Wangekuja na Special Product ya angalau tsh 20,000/ kwa mwezi hata kama ni chaneli tatu tu ningejiunga
 
Naskia kuzimia star times ni wazush sana yani,michanel yenyewe ina stak full time hawa wachina jamani.then najilaumu sana yan chanel wanazoonesha ni zaidi ya uppuzi ya muhimu ni kama4 tu.na kesho nakiuza kwa boya frani hivi kesha shoboka.nampiga 50.navuta dish nakula michanel free,
 
kwa nini hii kitu isilalamikiwe kimaandishi kwa Tume ya mawasiliano maana kulalamika peke yake haaimaanishi ndio kupata haki kwani haitajulikana nani analalamika na anamlalamikia nani. Wateja mnapaswa kujiunga na kulalamika kwa chombo husika kwani msipofanya hivyo hivyo vyombo vilivyoundwa kwa ajiri hiyo vinabaki havina kazi. Watanzania tuwajibike ili kuwawajibisha tuliowaweka. Hii tabia ya kulalamika hata viongozi wetu wanatujua huwa hatuna maamuzi zaidi ya kulalamika. Kumbuka lawama sio mzigo na kumlalamikia mtu haimaanishi ndio adhabu yake. Kikubwa hapa ni kujenga ujasiri na kwenda mbele tuache uwoga na kulalamika wakati tunawalipa hawa watu. Usiogope kuitwa na wengine kuwa stubborn. Be the first to initiate the change. Haki haiombwi bali hudaiwa.
 
Hello wana JF,

Kuna jinsi ya kuweza kupata channels za ITV na StarTV kwenye kingamuzi cha STARTIMES,
Wanaojua watupe maufundi,

Thx
 
Free StarTV, ITV na Chanel 10 kwenye Star Time
here we go!
1. Nenda Menu
2. Changua System Settings
3. Navigate kwenye Channel Search 4. Chagua Manual 5. Kisha weka 514MhZ
Free StarTV, ITV na Chanel 10 kwenye Star Time
here we go!
1. Nenda Menu
2. Changua System Settings
3. Navigate kwenye Channel Search 4. Chagua Manual 5. Kisha weka 514MhZ
MKUU NIJULISHE KAMA IMEKUBALI, ROSERIC
 
MKUU NIJULISHE KAMA IMEKUBALI, ROSERI
C

Mkuu nashukuru sana, naenda kufanya kama ulivyoelekeza,
then ntarudisha jibu
 
Free StarTV, ITV na Chanel 10 kwenye Star Time
here we go!
1. Nenda Menu
2. Changua System Settings
3. Navigate kwenye Channel Search 4. Chagua Manual 5. Kisha weka 514MhZ
Free StarTV, ITV na Chanel 10 kwenye Star Time
here we go!
1. Nenda Menu
2. Changua System Settings
3. Navigate kwenye Channel Search 4. Chagua Manual 5. Kisha weka 514MhZ
MKUU NIJULISHE KAMA IMEKUBALI, ROSERIC

kwangu imegoma!sijui labda kwakua natumia king'amuz cha zamani!
 
Nadhani hiyo 514 Mhz sasa haifanyi kazi, nilitumia hiyo nikazipata Star, ITV na Emmanuel (ingawa ilikuwa haionekani), baada ya wiki zimetoweka na kila nikijaribu tena chaneli hizo hazipatikani.
 
kwangu imegoma!sijui labda kwakua natumia king'amuz cha zamani!

ok then test hii hapa kupata chanel 12 za ziada nenda kwenye menu kisha shuka mpaka chini kwenye itemu ya 4 bonyeza ok kisha bonyeza mshale wa kushoto bonyeza ok kwenye manual kisha andika 530 bonyeza ok itasearch chanel ikimaliza close rudi mwanzo utaona chanel zimeongezeka
 
then test hii hapa kupata chanel 12 za ziada nenda kwenye menu kisha shuka mpaka chini kwenye itemu ya 4 bonyeza ok kisha bonyeza mshale wa kushoto bonyeza ok kwenye manual kisha andika 530 bonyeza ok itasearch chanel ikimaliza close rudi mwanzo utaona chanel zimeongezeka
 
Jamani naomba msaada kwa sisi tulio Moshi. Nikijaribu 514 au 530 haikubali huku Moshi.
 
ok then test hii hapa kupata chanel 12 za ziada nenda kwenye menu kisha shuka mpaka chini kwenye itemu ya 4 bonyeza ok kisha bonyeza mshale wa kushoto bonyeza ok kwenye manual kisha andika 530 bonyeza ok itasearch chanel ikimaliza close rudi mwanzo utaona chanel zimeongezeka
 
ok then test hii hapa kupata chanel 12 za ziada nenda kwenye menu kisha shuka mpaka chini kwenye itemu ya 4 bonyeza ok kisha bonyeza mshale wa kushoto bonyeza ok kwenye manual kisha andika 530 bonyeza ok itasearch chanel ikimaliza close rudi mwanzo utaona chanel zimeongezeka, LETE MAJIBU
 
ok then test hii hapa kupata chanel 12 za ziada nenda kwenye menu kisha shuka mpaka chini kwenye itemu ya 4 bonyeza ok kisha bonyeza mshale wa kushoto bonyeza ok kwenye manual kisha andika 530 bonyeza ok itasearch chanel ikimaliza close rudi mwanzo utaona chanel zimeongezeka

Hiyo nilishajaribu mkuu bt cheche.Ila nimejaribu 570 imeleta channel 13 atn1,atn2 zinatoa saut picha hakuna,channel 10 na Eatv zina pcha ila saut mara ije mara ikate zlizobak zote hazionyesh wala kusikika kitu.
 
Mi nilijaribu 510 a week ago ilikubali try that!
 
Back
Top Bottom