Teknolojia ya Digitali ya Startimes na Ting: Kero za watumiaji

Hiyo nilishajaribu mkuu bt cheche.Ila nimejaribu 570 imeleta channel 13 atn1,atn2 zinatoa saut picha hakuna,channel 10 na Eatv zina pcha ila saut mara ije mara ikate zlizobak zote hazionyesh wala kusikika kitu.

Bora 2013 ifike tule free channel haya mambo ya 570 tumejaribu hakuna sauti kabisa
 
ok then test hii hapa kupata chanel 12 za ziada nenda kwenye menu kisha shuka mpaka chini kwenye itemu ya 4 bonyeza ok kisha bonyeza mshale wa kushoto bonyeza ok kwenye manual kisha andika 530 bonyeza ok itasearch chanel ikimaliza close rudi mwanzo utaona chanel zimeongezeka, LETE MAJIBU

Nimejaribu 530 nimepata chanel ten, atn haina picha but kuna sauti ya redio tu
 
Bora 2013 ifike tule free channel haya mambo ya 570 tumejaribu hakuna sauti kabisa

Hata mimi naona hivyo hivyo tatizo huu mpango hauna phase yaani mpaka sasa hakuna local free chanel hata moja zaidi ya tbc1
 
Hili jukwaa nalipenda sana maana lina watu wabunifu sana na wanaojituma kusaka taarifa haraka, nina decoda ya startimes nimechakachua chanel lkn DTV na C2C sizipati kabisa ila nimepata ITV, star TV, channel ten, EATV na zingine nyingi km Emmanuel Tv nk. mwenye kujua namna ya kupata DTV na C2C anisaidie.
 
Mkuu naomba uni pm uniambie jinsi ulvozpata itv na star tv coz kla nkjarbu nashndwa
 
mpaka hapo we ni mwawba sas hiyo dtv sidhan kama ipo kwenye mfumo wa digitali...
 
Hili jukwaa nalipenda sana maana lina watu wabunifu sana na wanaojituma kusaka taarifa haraka, nina decoda ya startimes nimechakachua chanel lkn DTV na C2C sizipati kabisa ila nimepata ITV, star TV, channel ten, EATV na zingine nyingi km Emmanuel Tv nk. mwenye kujua namna ya kupata DTV na C2C anisaidie.

Mkuu hebu nami nipe hay maujanja kwenye PM nichakachue ITV, EATV,Star TV na hiyo Emanuli C10 na Clouds zinapatikana tangu mwanzo
 
mkuu na mm naomba un pm ili nipate kuona ITV maana kwangu hata kwa antena ya nje haipatikani vizuri nitashukuru sana mkuu
 
Na mimi pia uni pm unieleze ulivyofanya kupata hizo channel. Kama hutojali weka hapa kwa urahisi, utasaidia wengi.
 
Hili jukwaa nalipenda sana maana lina watu wabunifu sana na wanaojituma kusaka taarifa haraka, nina decoda ya startimes nimechakachua chanel lkn DTV na C2C sizipati kabisa ila nimepata ITV, star TV, channel ten, EATV na zingine nyingi km Emmanuel Tv nk. mwenye kujua namna ya kupata DTV na C2C anisaidie.

Mkuu tafadhali ni Pm nami niweze pata hizo chanel!Maana mimi sizipati hata hizo.Lakini tunaendelea nautafiti nikifanikisha tu c2c na Dtv,nakujulisha mkuu!
 
Ufisadi sio lazima uibe mabilioni...hata kutaka kuchakachua startimes ili upate ITV,EATV n.k ni mojawapo ya ufisadi!
 
tafuta uzi za nyuma kuhusu startimes utapata freq ni 570 kama sijasahau ila we search kwa uhakika zaidi..
 
Ufisadi sio lazima uibe mabilioni...hata kutaka kuchakachua startimes ili upate ITV,EATV n.k ni mojawapo ya ufisadi!

Huu sio ufisadi kabisa! Hizi channels ni free to air(FTA) hivyo haziuzwi. Hakuna anayepata hasara kwa kuzipata kiujanja. Tunazichukua tu bila kupewa.
 
Hili jukwaa nalipenda sana maana lina watu wabunifu sana na wanaojituma kusaka taarifa haraka, nina decoda ya startimes nimechakachua chanel lkn DTV na C2C sizipati kabisa ila nimepata ITV, star TV, channel ten, EATV na zingine nyingi km Emmanuel Tv nk. mwenye kujua namna ya kupata DTV na C2C anisaidie.

Mkuu na me nitashukuru km utanipm hayo maujanja manake hawa wachina wanatuzngua 2 kitu ni bure halaf wanatubania...
 
Wakuu kuna leakage kwa moja wa unofficial provider wa service za DVB-T.

Hii ni kwa Dar ONLY

Frequency units ni:-

650 kuna channel 8;
682 kuna channel 7;
714 kuna channel 7;
746 kuna channel 6;
778 kuna channel 7.

DTV, C2C na CTN zina leseni ya jiji ya kutoa matangazo kupitia kivuli cha Africa Media - channel TEN.

Hakuna jipya.
 
senkiyuuuuuu mkuu
 
Back
Top Bottom