Abunwasi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 5,486
- 3,473
Kwa hiyo kama nimekosa mkate nile keki siyo?
Hyo ni tafsiri yako lakini ukweli unabaki palepale kama untaka kuona hizo channel nyingine unapaswa utumie kingamuzi kingine it is a choice my friend
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo kama nimekosa mkate nile keki siyo?
umewahi kuitumia b4?
mi cjawah kuzishika kabisa hzo channel,au arusha haishiki
Naona waliingiza kinyemela wenye chaneli wamemaind kinoma