Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaaaaa....hahahaa nimefurah sana. Ngoja tuanze kuweka picha zetu ndo utajua.Pole sana dada,
Wajua watu wengine hawajui kwamba wanapoongea na mtoto mzuri kama wewe inabidi lugha iwe laini kidogo!!
Hawa jamaa wa startimes leo siwaelewi tangu asubuhi ni no signal ikija signal,hakuna picha,zaid unaona tangazo linapita kwa chini sijui mpira utaonyeshwa kwenye kungfu chanel na balabalabala,hivi naweza kuripoti wapi ujinga huu?na pia ikija picha kuna kitu inaapear non conax program,what the hell is wrong with this king'amuzi?aghrrrrrr,chanell zinazopatkana ni za kichina zaid
Tumia dstv clear channels unaanza kulipia kuanzia 15000/=, star times ni wezi tu, kama Zantel tu
tufahamishe ikoje? Unatumia antena au dish na chaneli ngapi?Karibuni Easy TV..hawa wachina hawana longo longo kabisa!
Unanunu decodar..140,000tufahamishe ikoje? Unatumia antena au dish na chaneli ngapi?
Duh, hilo jina hapo juu lina ulaini hata kidogo!? Au ndo unabembeleza halafu u ng'ate?.Pole sana dada,
Wajua watu wengine hawajui kwamba wanapoongea na mtoto mzuri kama wewe inabidi lugha iwe laini kidogo!!
duh, umegongelea msumari wa 7" kwa ting tofauti na nilivyotarajia, wkt mwingine huwa naona namna unavyojenga hoja kule jukwaa dini na kudhani ting ndio wangekuwa best friend wakoahhh! TING ndio inaboa kuliko, TING ya walokole tu!
tena!!! Ndio nani hawa?Hamia king'amuzi cha Ning
Hawa huku mikoani wapo? Au ni Dar tu?Unanunu decodar..140,000

Monthly charges. 9,000

Wana channels 32.

Local channels zote unazipata!

Kuna channelz za movies..sports..religious and entertainments

Unatumia anntena..atena zao zipo very strong.
Tena siku hizi wana promosheni ya kuwashawishi watu walipie kwa mwaka,
Wanataka wakitoka hapo watoke na fungu la kutosha tu!!
Mbona jamaa wamesimama powa tu. Matatizo hayakosekani kama ilivyo kwenye mitandao ya simu bana.